Jitahidini kurekebisha sehemu ambako mabomba yaanaachia maji. kuna sehemu zinatiririsha maji kwa kitambo kirefu sana . jitahidini kufuatilia na kurekebisha mapema ni kero mitaani.
Inachekesha na kuhuzunisha hapo hapo.
Huko Rombo kwa kina bwashee, kijana wa darasa la sita karudi toka shule. Nyumbani hakukuta msosi, lakini kwa jirani akasikia harufu nzuri ya ngararimo...
Natakiwa nilipe kitu fulani kwa Tshillings ila naweza pia kukilipia kwa Dola ...mimi nataka nikilipie kwa dola ..nafanyaje ili nipate rates nzuri au benki ipi wananunua dola kwa rates nzuri na...
Wananchi wa Kata ya Lamadi, Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, leo wamepiga kura ya siri ya kuwataja watuhumiwa wa mauaji ya watoto wilayani humo.
Hatua hiyo inatokana na maazimio ya wananchi hao...
Habari zenu wadau
Niende moja kwa moja kwenye hoja miye nilizaliwa na mama yangu ila nikiwa bado mdogo wa miezi miwili baba yangu mzazi akafariki uyu baba yangu mzazi hakuwa na ndoa na mama...
Kwa mwenye kujua vituo vya Watoto yatima hasa katikati maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto, Pugu au Chanika tafadhali naomba kuunganishwa na kamoja wapo. Asanteni.
kutoka: 22D Arnold st.
Habari ndugu ni matumaini yangu mko poa pia poleni kwa uchovu wa jana hasa mliolewa sana na ambao mlikua mkila tunda la mti wa kati poleni kwa kazi kubwa mliyoifanya okay niende kwenye mada...
Dar kwa sasa ni kama mji mkuu wa Dudan, Khartoum kwa joto na jua kali.
Siku hizi chachr kumekua na jua kali hatari. Sa 11 jioni jua lake kama la sa 7 mchana, hii ni hatari.
Ni mabadiliko na hali...
BADUNG, INDONESIA: Mtanzania aliyefahamika kwa majina ya Abdul Rahman Asman kamatwa na mzigo wa #DawaZaKulevya alizozimeza
Baada ya kumamatwa jumya ya kete 99 alizozimeza...
wanazengo
naomba nitoa malalamiko ya kutosha kabisa kwa niaba ya wakaazi wa kata ya Goba mtaa wa KInzudi kwa mamlaka ya maji safi DAWASA DSM...Mtaa wa Kinzudi umegawanyika sehemu ya Kinzudi-...
Wakuu najua apa kuna watu tofauti nina shida na no za waziri wa mambo ya ndani kangi lugola tafadhali mwenye nazo anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali itatoa adhabu kali ya kifungo cha miaka 30 jela kwa wazazi wote wawili wa mtoto wa kike atakayekatishwa masomo na kulazimishwa kuolewa ama akipata...
WAKATI wapendanao duniani wakiadhimisha Sikukuu ya Valentine’s Day kesho (Alhamisi) kwa kila mmoja kuonesha mahaba niue kwa mwenza wake, hali imekuwa mbaya kwa mrembo Winnie Jackson baada ya...
Jeshi la polisi linakabiliana na changamoto mbalimbali na kila kukicha kunatokea changamoto mpya.
Kuna kila sababu ya jeshi hilo sasa kubadili sare za vijana wake na ziwe za kimbinu (combat...
Kwa kawaida suala la unyoaji wa vywele au vinyweleo vya mwili hufanywa wakati mhusika akiwa ametulia na wakati mwingine kwenye maeneo ya siri. Lakini hii imekuwa tofauti kwa mwanamke mmoja, mkaazi...
Inasikitisha sana kuona kampuni ina jina kubwa(goodwill) kwa jamii na inapata mafanikio kila mwaka lakini hali ya wafanyakazi inakuwa duni. Kwa uelewa wangu mfanyakazi inabidi awe motivated sababu...
Ndugu zangu naomba kujua hivi sasa ndugu tajwa yuko wapi na anajishughulisha na nini?.
Hali yake kimaisha ikoje (kijamii na kiuchumi),
Viongozi wakubwa hawa ni vizuri wakawa roro modo kwa vizazi...
Majambazi watatu wamevamia benki nchini Uganda (DFCU) na kuwabaka wafanyakazi wawili ikiwa ni kuwashinikiza kutoa ufunguo wa sanduku la kuhifadhi fedha, hata hivyo hawakupewa funguo hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.