Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpaka unatamani kulia.. Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni Kuna muda unatafuta muda mrefu kumbe unacho mkononi umekishika au mfukoni...
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Tanesco ni zaidi ya wehu, yaani nimejikakamua nimeweka Bundle ya 160,000 GB 100 Smile ili nidownload File ambalo nalo nimelinunua Online Kwa Usd 79.! File Limedownload GB 92 Tangu Mchana Imebaki...
1 Reactions
80 Replies
6K Views
Nashukuru sana ubunifu lakini haya maua ya valentine yapuguWe yanazingua
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Aisee shule ya msingi kuna mambo ukiyakumbuka unabaki kucheka uu kujiona mjinga wa kiana flani hivi. Sometimes unajipa moyo aaah nilikua mdogo. Mdogo darasa la 6 au 7? Mimi nikiwa darasa la Tano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
My take: Huu mgogoro usipotafutiwa ufumbuzi wa hekima utaleta impression mbaya sana katika jamii. Vijana wa Kiislamu na Wafanyakazi waislamu wachache waliobakishwa pale UDOM baada ya wenzao...
11 Reactions
107 Replies
17K Views
habari ya asubuhi wanabodi, Kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi la leo,Inasemekana ajali ya Marehemu salome mbatia iliyotokea tarehe 24 oct. ilimlenga Mhe. zitto kabwe. Zitto amesema kabla ya...
1 Reactions
63 Replies
13K Views
Kwa mujibu wa Kamanda wa Jeshi la Polisi wa Mkoa huo Juma Ndaki amesema kuwa Jambazi huyo ameuawa wakati akijaribu kuwatoroka Askari wa Jeshi la Polisi RPC Ndaki ameeleza kuwa Jambazi huyo...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nionavyo mimi haya majanga yanayoendelea nchini kwetu mama yake ni Uvivu..sijajua nani baba yake. Mauaji ya watoto Njombe, Mauaji ya vikongwe Shinyanga.mp MKIRU, Kupigwa risasi Tundu Lisu. Ufisadi...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Gari ya mkurugenzi wa TBC Ayubu Rioba i.epata ajali wakati akielekea mkoani Kigoma ambapo watu wawili wanaelezwa kupoteza maisha. Ambapo katika ajali hiyo mkurugenzi ameumia kidogo, hii nikwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
MWANAMKE mmoja ambaye hakufahamika mara moja, amezua taharuki baada ya kukutwa mtupu kama alivyozaliwa eneo la Shani Sinema jirani na Kituo Kikuu cha Polisi Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo lililojaza...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
REHEMA Ezekiel, mkazi wa Sinza- Mugabe jijini Dar ni msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli) ambaye yamemfika mazito baada ya kutimuliwa ndani ya nyumba na mdogo wa bosi wake aliyefahamika kwa jina...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika sisi waafrika ni watumwa wa akili! Yani "mental slaves"!, Na ni ukweli kabisa wengi hawatapenda ninachokisema kwasababu hiyohiyo niliyoitaja hapo juu! Utasikia, "ooh...
32 Reactions
127 Replies
14K Views
Nami nimeona nitoe mawazo na mtazamo wangu kama raia huru juu ya mijadala inayoendelea kushika kasi mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kumhusu Lissu! Binafsi nimekuwa mtazamaji tu na...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa wakongwe wa democrasia wanajua nini maana ya kubadilisha chama kila baada ya miaka 8-10 hata kama kinafanya vizuri kiasi gani. Sisi tunakiweka chama miaka 60 madarakani hata kama kinafanya...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna video nimeiona whatsup, Mheshimiwa Rais Dr Magufuli akinunua madafu kwa sh elfu 40, akakatiwa moja akalinywa na mengine akamwelekeza muuzaji awape wananchi. Kumbe Rais wetu ni huwa...
6 Reactions
36 Replies
8K Views
Jamaa alipiga simu na kuniambia kuwa fulani ( kataja jina) mbona hizi bajeti za halmashauri ya () na () haziko sawa?. Nikaliambia Mimi sihusiki na bajeti hizo labda umtafute muhusika...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za jioni wanajukwaa Naomba niende moja kwa moja kwenye maada. Mimi ni muagizaji mzuri wa magari Japan, UK Kiukweli nakwazika mno na utendaji kazi wa kampuni ya EAA TANZANIA ambayo imepewa...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Wakuu habari zenu Kama kichwa cha habari kisemavyo Kwangu Mimi baada tu ya kuzisikia habari zile kupitia breaking news ya Radio one, cha kwanza nilimuomba Mungu amponye sijui ni kwa nini...
17 Reactions
106 Replies
9K Views
Nimetafsiri kutoka kwa dada Maria Mhandire wa Lilongwe. ____________ Wanaodhani Afrika nzima haina demokrasia waje wajifunze Malawi. Nadhani sisi ndio nchi ya kwanza kwa demokrasia Afrika na tuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom