Kama leo Babu wa Loliondo atarudi na tiba yake ya dose ya kikombe ni wangapo wataenda tena kupat tiba hiyo? Babu masapile mnyakyusa aliyekaa loliondo kwa kipindi kirefu baada ya kustaafu...
Huyo mdada Mkenya akishiriki mashindano ya Olimpiki kwenye barafu huko Ulaya, sasa najiuliza anajifunzia wapi?
Halafu isitoshe kama anashinda kwenye hayo mashindano inakuwa na maana gani kwa nchi...
Juzi asubuhi wakati nipo maeneo ya Kibamba Chama Jijini Dar,huku watu/abiria wakisubiri daladala kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji kwa mihangaiko yao,baadhi tulikuwa kijiweni kwa shughuli zetu za...
Mara baada ya Ndege ya Ethiopia kupata ajali..Naona kumekuwa na usitishwaji wa kampuni ya Boeing baadhi ya nchi mbali mbali TAZAMA
China imeyaagiza Mashirika ya ndani Ndege nchini humo kusitisha...
Ndugu watanzania tuishinikize ccm na serikali yake kuanzisha mchakato wa katiba mpya kwa hiari na kwa muda huu ambapo bado kuna kizazi cha waoga!
Ccm na serikali yake wasisubiri uoga uwatoke...
LEO NIPATA KUJUA KUA NINACHANGIA 1% YA GROSS SALARY.
NILIKUA SIJUI KITU HII.
KUNA YEYOTE AMENUFAIKA NA HII KITU? KAMA HUNA IMAN YA UVUMILIVU HUIPAT HII...
Hatua za kufuata baada ya tukio la...
Wakuu Jana niliingia kijiji kimoja wilayani ikungi karibu na mpaka wa tabora ,kijiji kinaitwa magungumka. Kijiji hiki kimechangamka sana na hata mzunguko wa biashara ni mzuri sana kwani kuna...
Ninasikitishwa sana na ukimya wa Mwenyekiti wa CDM Mbowe juu ya uamzi wa pinduapindua wa Edward Lowasa kurejea CCM wakati yeye akiwa jela.
Kuendelea kukaa kimya hata baada tukio hili kubwa...
Wadau naomba msaada mh ni mtumishi wa umma km wengine tu,analipwa mshahara kwa kawaida kwa mtumishi yoyote mshahara uwa haukidhi mahitaji kamwe.
Sasa mh Rais km walivyo watumishi wengine...
Tips pub Mikocheni inaonekana sio sehemu salama sana sasa baada ya jamaa anayejulikana kama Andy Senkoro kuchomwa kisu mithiri ya kuchinjwa kwenye pub hiyo
Sasa yupo ICU Muhimbili tumuombee…...
Jacob Mushi ni Mwandishi (Author), Kocha wa Mafanikio(Success Coach), na Mjasiriamali.
Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kwa...
Habari wakuu
Jana wakati narudi home majira ya jioni njiani nilikuwa nasikiliza radio kile kipindi cha Amplifaya cha Clouds Fm, kinachoendeshwa na mtangazaji Millard Ayo
Katika zile story zake...
BILA CLOUDS HAKUNA STAR YEYOTE ANGETOKA.
.
@josephkusaga anaeleza kwamba nchi hii iliweka ugumu sana kupokea muziki wa kizazi kipya. Anasema baada ya kuona muziki wa vijana unakataliwa kwenye...
Asalaam alaikum jaman kwa wenyej wa mwanza naomben msaada nakuja mwanza inshaalah kesho hotel nzur isizid elf 40 na nahitaj mwenyeji atakaentembeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar es Salaam. Mahakama ya wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imemuachia huru, Isidory Karume (57) aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kukutwa akimiliki risasi mbili baada ya kubainika sheria...
Swali kwa madaktari/Wajuvi naomba mnijuze,
Hivi ikikitokea mtu amepata ajari/damage ya kichwa na kupata madhara ya kufuta kumbukumbu zake zote yaani kila kitu kimefutika kichwani(Kama ni memory...
Tanzania hivi karibuni kumesikika habari nyingi mbaya za watoto wadogo kupotea. Tusikiapo habari hizo mara nyingi tunazihusisha na mambo ya kishirikina.
Sikatai, ushirikina upo na kwa kiwango...
Kwako mmiliki wa hiki kituo popote ulipo
Kuna kijana moja umeajiri leo imebidi nitafute na jina anaitwa Magafu
Atakufukuzia wateja mapema kama una sehemu nyingine ama kazi za nyumban mpatie...
Ilo shirika ni shirika kubwa sana hapa Africa na duniani kote ila lina tabia chafu na mbaya tabia yao ya kupachikana kwenye nafasi za kazi inakera sana......
Watu tunafunga safari kutoka mikoani...
Habari wana JF.
Ni takriban miezi mitano tu imepita tangu kutokea ajali mbaya ya ndege ya shirika la LION AIR la Indonesia, aina ya BOEING 737 MAX 8. Jana Jumapili tarehe 10/03/2019 inatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.