MUSONI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 904
- 692
Tips pub Mikocheni inaonekana sio sehemu salama sana sasa baada ya jamaa anayejulikana kama Andy Senkoro kuchomwa kisu mithiri ya kuchinjwa kwenye pub hiyo
Sasa yupo ICU Muhimbili tumuombee….
Ishu nzima ilikuwa hivi
Hawa jamaa walikuwa wanakula na kunywa pamoja kwa muda na kujadiliana kuhusu mpira.
Wakati wametoka nje ya pub kuelekea kwenye usafiri majadiliano yao yaligeuka kuwa majibizano ambapo baada ya kubishana kwa muda mmoja wapo (Aliyetambulika kwa jina la Abdallah Luoga, mwanafunzi wa mwaka wa 2 Chuo cha Diplomasia Kurasini) akamvamia mwenzie (Andy) na kumchomana kitu chenye ncha kali.
Mtuhumiwa yuko mikononi mwa jeshi la polisi tayari