Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Binafsi mimi si mshabiki wa Magufuli 100% ila kuna wakati namuunga mkono 100% kwa maamuzi anayoyafanya. Kuna mjamaa yangu ana bachelor ya sheria yuko kampuni ya Warrior kama mlinzi wa kawaida...
7 Reactions
71 Replies
9K Views
Kivuko chetu kule ukerewe kilipopata ajali na kuuwa watu 157 ilipata coverage ya vyombo vya kimataifa, ila ni kidogo sana ikilinganisha na hii ajali ya Ethiopia iliyoua watu 157 Ajali hii imekuwa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mbinguni kuna nyota tatu zilizofuatana katika mstari mmoja. Ukitazama angani wakati wa usiku unaweza kuziona. Wahenga wanasema nyota hizo zinaashiria kuwa tamaa kwa binaadamu iko mbele, mauti yako...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Moshi. Mwanamume mmoja, mkazi wa Lole Marera, mwenye umri wa miaka 53, amejeruhiwa kwa kitu chenye ncha kali katika korodani moja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Hamisi Issah alisema jana...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, napenda wafuasi wa mafundisho ya Spiritual Awaken tufahamiane na tupeane maarifa zaidi juu ya elimu hii muhimu kwenye dunia ya sasa iliyojaa utapeli wa kidini. Napenda kujua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tangu wiki iliyopita taka zipo mtaani alafu magari hamna. Mtendaji hapokei simu, manispaa nawao awajatoa majibu. Jana nilipita maeneo ya masaki nikasikia wiki ya tatu hadi ya nne uchafu...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Askari polisi kitengo cha usalama barabarani Kahama Mjini WP. 10492 PC Jenipher amenusurika kufa baada ya kugongwa akiwa kazini katika barabara ya Kahama kwenda Kiinza Tabora. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nina jiko la gesi ambalo natumia mtungi wa oryx ambapo bina takriban ka mwaka na kidogo sijawai kulitumia sasa leo nimeanza kulitumia baada ya kujaza gesi lakini kila niki attach regulate na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wadau, Kuna hali ya mabadiliko ya hali ya hewa huko Msumbiji,huenda kimbunga kikaleta shida.. Sasa sijapata kufahamu kama wale wataalam wa hali ya hewa wa Tanzania wanachukua hatua za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Utata umeibuka katika tukio la Kuteketea kwa Moto Hotel ya Kitalii ya Ilboru Safari Lodge, Inayomilikiwa na Kanali Mstaafu wa Jeshi,Mica Metil baada ya kuibuka taarifa zinazodai kufanyika hujuma...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Naibu Waziri wa ujenzi,uchukuzi na mawasiliano Mh Mhandisi Atashasta Nditiye amepiga marufuku magari yote ya abiria kusafirisha vifurushi vya aina yoyote zikiwemo barua bila kuwa na leseni kutoka...
7 Reactions
505 Replies
68K Views
Hello JF, .ili upinzani kushinda ni lazima waonyeshe wananchi kwa nini wao{Upinzani} ni bora Zaidi ya serikali iliyopo... Kwa vile mikutano ya kisiasa imekatazwa mpaka wakati wa uchaguzi…...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
natafuta kijiko au greda la kukodi la bei nafuu,kuna shimo kubwa karibu na nyumba yangu,nataka kulifukia kwa matakataka,yapo jirani na shimo,eneo ni kilungule -mbagala,namba zangu...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nasikitika kuona amana hospital inayojulikana lakini inausumbufu sana pale inapofika mda wa kuona wagonjwa .mda ukifika mnaingia lakini mbele huko wodini unakutana na askari wanaolinda wanawazuia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
# Leo tarehe 11/3/2019 Waziri wa kilimo Mh Japhet Hasunga,pamoja na manaibu wake wawili waheshimiwa Innocent Bashungwa na Omary Mgumba na watendaji wa Wizara wamefanya kikao cha pamoja Chenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sasa hivi kuna Kampeni kubwa sana ya kuhamasisha watanzania kufanya utali wa ndani. Ni wazo zuri sana lakini lenye walakini ndani yake. Kufanya utalii ni suala la ziada na si suala la lazima...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna vijana fulani wa mjini, wamekaa kijiweni na kuyajadili maisha kwamba ni magumu, wamekata tamaa na kudai kwamba kamwe hawawezi kufanikiwa! Wengine wanakwenda mbali na kusema kwamba wao...
11 Reactions
15 Replies
4K Views
Tumeshuhudia mvua iliyonyesha leo hii jijini dsm na kusababisha baadhi ya maeneo kufurika maji na kuhatarisha usalama wa watumiaji pia na miundo mbinu husika iliyojengwa kwa pesa za mvuja jasho...
38 Reactions
440 Replies
58K Views
Nimewekeza shamba ndugu yangu akakimbia na PESA yote ya mavuno, nikawekeza kwenye tigo pesa na m pesa kijana akatia losi kubwa kwa sasa nimeamua ninunue bajaji lakin kwa njia mbili nikope bank au...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna katuni ya Kaboka mchizi alikuwa kwenye gazeti la Alasiri yani Kaboka alikuwa mtu wa mikwara sana ila siku ya mwisho alikuwa anashushiwa kipigo.
1 Reactions
41 Replies
15K Views
Back
Top Bottom