Mfahamu Jacob Mushi

JacobMushi

Member
Sep 18, 2018
22
30
Jacob Mushi ni Mwandishi (Author), Kocha wa Mafanikio(Success Coach), na Mjasiriamali.
Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kwa kupitia Kazi Zake Maisha ya wengi yamekuwa bora na kufanikiwa.
Kwa kupitia kazi yake ya Uandishi pekee ameweza Kuwafikia maelfu ya watu kwenye mitandao ya kijamii na kufikia kualikwa kufundisha vijana, pia kualikwa kwenye vipindi vya Redio na Tv mbalimbali hapa nchini.


Jacob ni mwanzilishi wa mtandao wa USIISHIE NJIANI ambao unatoa mafunzo ya kuelimisha jamii juu ya namna ya kuishi Maisha bora. Kwa kupitia Kazi Zake Maisha ya wengi yamekuwa bora na kufanikiwa.

Jinsi ya Kufanya Kazi na Jacob Mushi.
1. Kusoma Makala Zake
Usiishie Njiani Blog unapata makala za aina mbalimbali za kukupa maarifa uweze kuchukua hatua na kufikia mafanikio makubwa. Makala hizi ni bure kabisa, hulipii chochote ili uweze kuzisoma. Unaweza kujifunza na maisha yako hayatakuwa kama yalivyokuwa. Kila siku kuna makala mpya ambayo inawekwa kwa ajili ya kukusaidia wewe. Jifunze kwa makala hizi na pia usiache kuwashirikisha marafiki zako waje wanufaike pia.
2. Kusoma Vitabu Alivyoandika.
Jipatie vitabu bora sana uongeze maarifa kwenye akili yako na uweze kupiga hatua. Vitabu Vinapatikana kwa mfumo wa Softcopy, Unatumiwa kwa njia ya email Vingine Kwenye Hardcopy.
1/ SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO Tsh 10,000/= (ksh 480)
2/ MBINU 101 ZA MAFANIKIO Tsh 10,000/= (ksh 480)
3/ MAFANIKIO KWENYE BIASHARA Tsh 10,000/= (ksh 480)
4/ USIISHIE NJIANI, TIMIZA MAONO YAKO Tsh 7,000/= (ksh 340)
5/ NUKUU ZA MAFANIKIO tsh 4,000/= (ksh 190)

Kupata vitabu hivi kwa njia ya mtandao (email &Whatsapp) lipa kwenda namba Tigopesa 0654 726 668.
(majina ni Jacob Moshi).
3. PERSONAL COACHING (KUWA KOCHA WAKO BINAFSI)
Hapa unakuwa unanipa kazi mimi kukuongoza ili utimize kitu Fulani kwenye Maisha yako. Inaweza kuwa ni lengo Fulani uliloweka, tabia Fulani unataka kuacha. Unanielezea na mimi nitakuwa nikikuongoza na kukupa ushauri kuanzia wiki moja hadi mwezi mmoja.
Kama utahitaji niwe kocha wako tuwasiliane kwa namba 0654 726 668.

Karibu sana
Mawasiliano:
www.jacobmushi.com
fg.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom