Wasalaam,
Jana nilikwenda maeneo ya mbezi kumsalimia ndugu yangu ambae ni mkaanga chips.
Nilikuta hajafungua biashara na kwamba aliitumia cku ya Jana kwenda kupanga foleni ili kununua...
Jahazi lipo hewani sasa wakuu, day one bila Efrahim kweli maisha yetu mafupi na hatuna budi kujikabidhi kwa Mungu kila wakati kwani hakuna ajuae siku wala saa atakayotwaliwa.
Sent using Jamii...
sijui nisemaje ,moyo wangu umefarijika narukaruka kwa furaha,najiuliza bila mabeberu a.k.a wahisani,a.k.a wadau wa maendeleo a.k.a waibaji wa rasilimali zetu ,kutusaidia ingekuwaje?tungeweza kweli...
Fundisho kuu, kwa msiba utakao ikumba familia ya Mwl aliyemchapa mtoto had kufariki ni muhimu kwa wanaume wengi.
Mkoba sio wako, kiherehere kimemponza. Tabia ya wanaume hata mmi nilojikuta...
Takribani sasa miezi 4 hakuna maji ya ya bomba kwa wakaazi wa kata za Mukituntu na Igalla.
Mradi huo uliokuja kufunguliwa na Waziri mkuu akiambatana na Waziri wa maji na msafara wote hadi mkuu...
HABARI!
nyumba niliyo kuwa nikishi ilifikia kipindi nilitaka kufukuzwa Ndani kwa kutokulipa kodi. Nikaamua kuwashirikisha marafiki hata na boss wangu pia, wote wakaanza kunikwepa, hali nlivyoona...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu ameshiriki ujenzi wa Zahanati ya Ngongo iliyopo Kijiji Cha Ngongo kilichopo kata ya Michenjele.
Gavana Shilatu alienda...
Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, amesema kuwa, suala la kutekwa nyara kwa mfanyabiashara mashuhuri wa nchi hiyo na Afrika, Mohammed Dewji mashuhuri kwa jina ‘Mo’ limeacha maswali mengi kwa...
Leo la kupiga marufuku uagizwaji wa samaki hao ni kuinua Wavuvi wa ndani
Kwa sasa Tanzania inaagiza kwa wingi samaki kutoka Taifa la China na Vietnam
Kwa hatua ya awali Serikali inaandaa...
Kwanini mawaziri wanazomewa, wapinzani wanafagiliwa?
Mwandishi Wetu
KWA mtu anayefuatilia taarifa za mikutano ya mawaziri mikoani, walikokwenda kutetea ufisadi, bila shaka atakubaliana...
SOKO LA SABASABA KWENYE MKWAMO WA UONGOZI KWA MIEZI 8 SASA*
Na
Peter J Mallya
Soko kuu la Sabasaba Jijini Dodoma ni miezi 8 sasa limekuwa halina uongozi kutokana na uongozi wa mwanzo kuvunjwa...
Tangu Jana nafuatilia usalama wa usafiri wa anga ,nimegundua kitu ndege zote zinazopata ajali ni za abilia.
Mbona za viongozi hatusikii na wengi wao ni mabingwa wa safari za marekani na ulaya...
Ndugu wana jf, hivi gharama za hifadhi kama, mikumi na Serengeti au Tarangire bei za kiingilio, vyakula na malazi ni kiasi gani kwa Siku na gharama za kutalii mbugani kiasi gani??
Fikiria shule nzima ina mwalimu mmoja anayefundisha madarasa sita. Ndiye mwalimu wa wanafunzi wote 99. Ndiye mwalimu wa darasa la awali (chechekea). Anapanga vipindi na kusimamia taaluma na...
Maswali yangu kwa TFDA:-
[emoji117]Dana wimbi la matapeli wanaotusumbua mitaani kwa kujiita wafanyakazi wa TFDA, tukiwaona tuchukue hatua gani..
[emoji117]faini anayotoa mtu anayekutwa na...
AFRICAN Wildlife Foundation imesema Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na Simba wengi na kwa upande wa Tembo inashika nafasi ya tatu barani Afrika.
Imesema hiyo inatoka na juhudi ambazo...
kipindi kile tu bwana Mtaka aliposifiwa kwamba ndiye Rc wa kupigiwa mfano kuna mtu mtu alilipuka akaandika subliminal message ,sasa natabiri kwa hii post lazima akiwashe,labda atasema kama maneno...
Kuna Utaratibu wa kuvisha Medali za thamani kama za dhahabu, fedha na nyinginezo. Ni jambo zuri linamhamasisha mshindani aweze kufanya vyema zaidi. Nimezoea kuna Wakimbiaji wakipata medali hizo...
Wananchi wa kijiji cha Njomlole kata ya uwemba mkoani Njombe wanasikitishwa na takwimu za maambukizi ya virusi vya ukimwi kuendelea kuwa kubwa huku mkoa huo ukiongoza kitaifa na kutaja kuwa kupima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.