SOS Children Village Makao makuu nawaonya tabia ya kupachika ndugu zetu kazini

Status
Not open for further replies.

naomba kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
259
250
Ilo shirika ni shirika kubwa sana hapa Africa na duniani kote ila lina tabia chafu na mbaya tabia yao ya kupachikana kwenye nafasi za kazi inakera sana......

Watu tunafunga safari kutoka mikoani mpaka makao makuu pale mikocheni afu mnaleta usanii au kwakuwa mimi mdada ndio mnanifanyia ivyo.........

Nawapa onyo vielelezo vyote ninavyo, nitaviwasilisha mahakamani ngoja nione kama yule mtu wenu mtampitisha kwenye huo usahili wa ku-foji uku mna watu wenu mfukoni..........

Mtanijua kama mimi ndio dada anet au janet .......

Time will tell, keep wait........

Over.........

Anet toto la kimburu!!!
 
xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,296
2,000
Unawapa onyo wewe kama nani? Jiongeze kama umenyimwa kazi tafuta channel nyingine tu.
Ilo shirika ni shirika kubwa sana hapa Africa na duniani kote ila lina tabia chafu na mbaya tabia yao ya kupachikana kwenye nafasi za kazi inakera sana......

Watu tunafunga safari kutoka mikoani mpaka makao makuu pale mikocheni afu mnaleta usanii au kwakuwa mimi mdada ndio mnanifanyia ivyo.........

Nawapa onyo vielelezo vyote ninavyo, nitaviwasilisha mahakamani ngoja nione kama yule mtu wenu mtampitisha kwenye huo usahili wa ku-foji uku mna watu wenu mfukoni..........

Mtanijua kama mimi ndio dada anet au janet .......

Time will tell, keep wait........

Over.........

Anet toto la kimburu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
259
250
Hii interview ya tatu wananifanyia usanii, nilifanyiaga mwanza mara ya kwanza usanii huo huo, nikaja nikafanyia dar usanii ni huo huo mpaka ya dodoma ni usanii tupu

Naenda mahakamani, mniache nimesema
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,191
2,000
Wanaokwendaga mahakamani hawatoi povu hivi.... Waulize nilichowafanya Tigo Tanzania, fukuza mwizi kimya kimya, Wananijua vizuri saana
Hii interview ya tatu wananifanyia usanii, nilifanyiaga mwanza mara ya kwanza usanii huo huo, nikaja nikafanyia dar usanii ni huo huo mpaka ya dodoma ni usanii tupu

Naenda mahakamani, mniache nimesema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom