Wakenya bhana, sasa huyu anatrain wapi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Huyo mdada Mkenya akishiriki mashindano ya Olimpiki kwenye barafu huko Ulaya, sasa najiuliza anajifunzia wapi?
Halafu isitoshe kama anashinda kwenye hayo mashindano inakuwa na maana gani kwa nchi ya Kenya na Wakenya kwa ujumla?
Kwa maana nina uhakika zaidi ya asilimia 98 (98%) ya Wakenya hawauelewi huu mchezo yaani kuhusu kanuni na mambo mengineyo sasa ina maana gani?

Kenyan-Sabrina-Simader-is-coming-down-the-mountain-says-groundbreaker-Boit.jpg

93040e75b5ed20cd17e4d84d0cb8ca7c.JPG

Huyo mdada Mkenya akishiriki mashindano ya Olimpiki kwenye barafu huko Ulaya, sasa najiuliza anajifunzia wapi?
Halafu isitoshe kama anashinda kwenye hayo mashindano inakuwa na maana gani kwa nchi ya Kenya na Wakenya kwa ujumla?
Kwa maana nina uhakika zaidi ya asilimia 98 (98%) ya Wakenya hawauelewi huu mchezo yaani kuhusu kanuni na mambo mengineyo sasa ina maana gani?

Sabrina1.jpg
Bidada mwenyewe sijamuona
 
Watz hamuelewi uzalendo ni nini?Kupeperusha bendera ya nchi yako ugenini ni kitu cha maana sana na ndo upendo mkuu kwa nchi yako.Haijalishi kama unachofanya wananchi wenzako hawakielewi,mwishowe kupitia bidii na uzalendo wako wataelewa tu.Baada ya kuteka mbio za masafa marefu kurusha mkuki,voliboli kwa wanawake,raga 7s,sasa kuna wakenya macho yao yako kwenye mashindano ya baiskeli,F1,na ice skating,n.k.Hongera kwao wacha waendelee kuwakilisha nchi yetu tukufu ya Kenya.
 
Hayo mengine yoote uliyosema ni sawa kwa maana yanaendana na mazingira ya Kenya hata unaweza kuwaelezea watu wakaelewa lkn kuteleza kwenye barafu?
Kuna sababu kwa nini ikaitwa Winter Olympic!
 
Wakenya Kila kitu wanataka Mijisifa tu... WALIANZA KWA KUTAKA KUMUOA MTOTO WA OBAMA.. LEO WINTER SKATE... AAAH
 
Skiing ni 'individual sport' haihitaji timu nzima na mtu akiamua kibinafsi amependa mchezo huo na ataiwakilisha nchi ya Kenya kwenye mchezo huo shida iko wapi?Unataka serikali imnyime nafasi hiyo?Mimi nadhani inafaa apewe hongera na serikali na pia wananchi kwa kudhubutu na pia apewe 'support' yote anayohitaji.Amejitolea kwa hali na mali,lazima awe anatumia pesa zake ku'train' kule nchi za ughaibuni.Afu ukumbuke hakuna kitu kigumu kwa binadamu,chini ya jua.Hata 'ice skating' wengi hawangedhani itafanyika Kenya lakini kama unaelewa kuna 'ice skating rink' hapa hapa Mombasa road,Nairobi inaitwa Panari Sky Centre.
 
Wakenya Kila kitu wanataka Mijisifa tu... WALIANZA KWA KUTAKA KUMUOA MTOTO WA OBAMA.. LEO WINTER SKATE... AAAH
Acha wivu wa kitoto,kama huyo mwanadada angekuwa mtz sasa hivi ungekuwa unakimbilia kupeana hongera zako!Wakenya hatufanani na watz sasa hata kujishirikisha kwenye michezo tofauti ni kupenda sifa?Wakati michezo madhumuni yake ni ushindani?Unatakaje sasa tuachane na mbio,raga na voliboli tuwe kama nyie?
 
Watz hamuelewi uzalendo ni nini?Kupeperusha bendera ya nchi yako ugenini ni kitu cha maana sana na ndo upendo mkuu kwa nchi yako.Haijalishi kama unachofanya wananchi wenzako hawakielewi,mwishowe kupitia bidii na uzalendo wako wataelewa tu.Baada ya kuteka mbio za masafa marefu kurusha mkuki,voliboli kwa wanawake,raga 7s,sasa kuna wakenya macho yao yako kwenye mashindano ya baiskeli,F1,na ice skating,n.k.Hongera kwao wacha waendelee kuwakilisha nchi yetu tukufu ya Kenya.

we mungiki unapeperusha nn?..haha unachamba na daily nation ama the standard ..
 
Mwenzako barbarosa anakuja na hoja muhimu akitaka kujua umuhimu wa mkenya kufanya skiing kwenye winter olympic watz wengine wanapeana maoni yao kwa heshma wengine wanasema ni sifa,wengine wamependa,wewe unaleta mambo ya kuchamba na mungiki?Kwenye mada ya MICHEZO?Unaleta aibu kwa wenzako aisee,kwani ulilishwa mavi ukiwa mtoto?Unapenda sana mambo hayo!
 
Hongera kubwa kwa waKenya ...Kusema kweli hatuwapati kbs !! wapo mbali na makini ktk kulipaza jina la KENYA!!
MK254 njo tukupongeze bana... Mnasupa star mpya !!

Zamiluni Zamiluni Asante kwa kuniita huku, yaani mleta mada simuelewi kabisa, huyu jamaa huwa ana matataizo sana. Na hii ndio taswira kamili ya Mtanzania, kuponda kila kitu. Kawaida nikisoma jinsi huwa mnamtukana Diamond kule Facebook, inabidi niwazoee maana huwa mna majungu na kila mafanikio ya yeyote yule. Hijalishi ni Mtanzania au mgeni.

Kuna dogo fulani hapo Dar, kijana Mtanzania tena mzawa halafu mjasiria kabisa, nikiwa huko niliona jinsi alivyokua anapigwa chini na Watanzania wenzake hadi nikawashangaa sana.
Sasa hivi hebu angalia huku kwenye mitandao ya jamii jinsi Magufuli anavyoshambuliwa kwa kila hatua chanya, mna majungu kabisa nyie.

Sasa utajiuliza nini kinamfanya huyu mleta mada aumwe eti kwa sababu Mkenya kafaulu kushiriki kwenye michezo ya barafu. "Spread your wings and fly high, be the best you can be"..... hiyo ndio kauli ya Mkenya, nenda huko nje kafanye chochote na kwa vyovyote vile. Dunia hii kila mtu ana fursa moja ya kuishi, ukifa hutapewa fursa nyingine ya kurudi, hivyo tumia muda wako kutanua.....nenda huko nje, toka hicho kitaa....
 
Mwenzako barbarosa anakuja na hoja muhimu akitaka kujua umuhimu wa mkenya kufanya skiing kwenye winter olympic watz wengine wanapeana maoni yao kwa heshma wengine wanasema ni sifa,wengine wamependa,wewe unaleta mambo ya kuchamba na mungiki?Kwenye mada ya MICHEZO?Unaleta aibu kwa wenzako aisee,kwani ulilishwa mavi ukiwa mtoto?Unapenda sana mambo hayo!

acha blah blah wew... najua unasiku tatu hauchambi we..eti uchumi mkubwa!! hahaaaa
 
Back
Top Bottom