Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni vyema kwama Uhamiaji wamekuja na mfumo mpaya wa maombi ya permit za makazi kwa wageni hapa nchini, mfumo huu unarahishisha kazi na kuhamashisha uwekezaji, kwa muda mfupi wa mfumo huu kuna kero...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
*Kifupi ni kwamba* Gari limesajiliwa Msumbiji, limeingia Tz kupitia mpka na Kenya, Dereva ni Mnigeria anaeitwa Obasanjo, Lugha iliyokuwa inazungumzwa ni kilugha cha kusini mwa Afrika, afu watekaji...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeshindwa Kuandika Kwa kisahili sababu maelezo ni Mengi afu nimefanya copy and past ila naamini machache mtayapata Gandhi is idolized worldwide as a prophet, a visionary, even a messiah. Earl...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Udom hasa COED watumishi wanakwamisha malipo ya wanufaika wa mikopo HESLB. Wakisaini wanasubiri hadi mwezi uishe ndipo pesa zao walipwe kwanini ichukue muda wote huo? Wakiulizwa wanasema eti...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara ni moja ya eneo lililokubwa na mabadiliko ya tabia nchi mwaka jana na kusababisha madhara ya vifo vya Mifugo kwa wingi. Madhara hayo yalitokana na mvua chache...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo hapa Morogoro ninamsubiri mgeni wangu. Ameniambia wamefika ila gari imepitia garage kwa ajili ya check up na mafuta. Gari hii inatoka Mbeya. Hivi kwanini usumbufu huu kwa abiria? Sumatra...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Rejea kichwa cha habari kisemavyo, ile sheria mpya inayoongoza sekta ya habari kwa ujumla inawataka mwandishi wa habari lazima awe na shahada ya habari ni kweli itawatoa OUT blogers wengi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bila shaka wakati wa kuomba kura mlifika berega, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro hivi hamuoni tatizo la Daraja walilonalo wakazi wa berega, Hivi hamuoni tatizo la hospitali walilo nalo wakazi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwalimu Nyerere umaarufu wake ulitokana na historia yake ya maisha kuwekwa wazi na kila mtu aliyesoma naye, aliyefundishwa naye, maisha yao hata aliyekunywa naye bia kujadiliwa hivyo tukamfahamu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mtoto toka familia bora kabisaaa baba na mama yake wote wana title ya Dr. Baba ni raia wa Ethiopia na mama yake ni mkenya Dr.Rayan shapi. Kijana huyu ana uzoefu wa kuruka na ndege masaa 8000...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili linapaswa kuwa onyo kwa viongozi wa Tanzania, kwamba kabla hamjatoa matamko inabidi mtumie busara kwa kuwa tamko la kiongozi wa serikali linaweza kuwa na athari za muda mrefu sana kwa nchi...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
SUMATRA haya mateso tunayofanyiwa na hawa Udart sijui kama nyie yanawakuta moja kwa moja. Tafadharini mngerejesha tu njia zilizoathiliwa na usafiri huu mpaka hawa Udart watakapojirekebisha. Maana...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Kanisani bila pesa utaonekana si chochote,msikitini vilevile. Hospital bila pesa utafia kwenye bench. In short everything &anything is money (doh). Kijana bila pesa hata kuku watakudharau,Hata...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Uendeshaji bodaboda i umerahisisha usafiri kwa kiasi falni na pia umeajiri vijana wengi na baadhi yao umewapunguzia ukali wa maisha na pia kuachana na vitendo vya uvunjifu wa sheria kama wizi...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Benki 15 zaungana kutoa huduma ya Visa kwa simu za mkononi BENKI 15 nchini zimeungana kutoa huduma ya Visa kwenye simu ya mkononi itakayowasaidia Watanzania kutumiana fedha ndani ya nchi bila...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Watumishi watatu wa idara ya afya wilayani Chato mkoani Geita wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa dawa za aina mbalimbali zinazodaiwa kuwa ni mali ya Serikali. Kamanda wa polisi mkoa wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Malcolm X, anatajwa kama moja ya watu weusi wenye ushawishi mkubwa kuwahi kutokea. Katika moja ya hotuba zake, Malcolm X anazungumzia uhusiano uliopo baina ya elimu duni na umasikini. Kwamba...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari amesema rada iliyofungwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Junius Nyerere imezeeka. Rada hiyo ilinunuliwa kwa mabilioni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Alfajiri ile ya saa kumi na moja utawakuta tayari wapo center zao za kufanyia mishe na zile birika zao wakipepelea moto huku kahawa ikiwa tayari kwa kunywewa, Ukifika usiku vivyo hivyo mpaka mida...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KIWANDA cha Sukari cha TPC Ltd kimeongeza eneo jipya la hekta 450,000 kwa ajili ya uzalishaji wa miwa, ili kuongeza uzalishaji sukari itakayokidhi mahitaji ya soko. Sasa TPC inatarajia kuongeza...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom