Condom zadaiwa kuadimika mkoani Njombe

namvumi king

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
713
1,000
Habari wakuu

Jana wakati narudi home majira ya jioni njiani nilikuwa nasikiliza radio kile kipindi cha Amplifaya cha Clouds Fm, kinachoendeshwa na mtangazaji Millard Ayo

Katika zile story zake kumi za siku mojawapo ikawa hii ya upungufu wa condoms katika maeneo mbalimbali ya mji wa Njombe

Upungufu huu unatishia kuongezea maambukizi ya UKIMWI katika mkoa huo huku ikizingatiwa kuwa mkoa huo ndio unaoongoza katika takwim za maambukizi ya UKIMWI hapa nchini

Je, condoms Ni biashara nzuri huko Njombe?

Upungufu huo umejitokeza katika nyumba za kulala Wageni, Bar, Lodges na hotel za mji huo.

Je wakazi wa njombe ni kweli wanapenda kudinyana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,421
2,000
kwa nyinyi wazee wa pekupeku hamuwezi kujua kama hii bidhaa imeadimika hata hapo ulipo hali ni mbaya sana
acha kukimbilia njombe mzee
 
Mgoroko

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
692
500
Habari wakuu

Jana wakati narudi home majira ya jioni njiani nilikuwa nasikiliza radio kile kipindi cha Amplifaya cha Clouds Fm, kinachoendeshwa na mtangazaji Millard Ayo

Katika zile story zake kumi za siku mojawapo ikawa hii ya upungufu wa condoms katika maeneo mbalimbali ya mji wa Njombe

Upungufu huu unatishia kuongezea maambukizi ya UKIMWI katika mkoa huo huku ikizingatiwa kuwa mkoa huo ndio unaoongoza katika takwim za maambukizi ya UKIMWI hapa nchini

Je, condoms Ni biashara nzuri huko Njombe?

Upungufu huo umejitokeza katika nyumba za kulala Wageni, Bar, Lodges na hotel za mji huo.

Je wakazi wa njombe ni kweli wanapenda kudinyana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaonyesha wakazi wa njombe wameelimika juu ya kujikinga na magonjwa ya zinaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ledada

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
14,179
2,000
Madukani je hakuna pia? au ni kwenye nyumba za kulala wageni, Lodge, hotel na bar tu
 
kantalambaz

JF-Expert Member
Dec 24, 2017
1,647
2,000
Habari wakuu

Jana wakati narudi home majira ya jioni njiani nilikuwa nasikiliza radio kile kipindi cha Amplifaya cha Clouds Fm, kinachoendeshwa na mtangazaji Millard Ayo

Katika zile story zake kumi za siku mojawapo ikawa hii ya upungufu wa condoms katika maeneo mbalimbali ya mji wa Njombe

Upungufu huu unatishia kuongezea maambukizi ya UKIMWI katika mkoa huo huku ikizingatiwa kuwa mkoa huo ndio unaoongoza katika takwim za maambukizi ya UKIMWI hapa nchini

Je, condoms Ni biashara nzuri huko Njombe?

Upungufu huo umejitokeza katika nyumba za kulala Wageni, Bar, Lodges na hotel za mji huo.

Je wakazi wa njombe ni kweli wanapenda kudinyana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni fursa watu waitumie kupata kipato. Hakuna kitu cha bure duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
6,187
2,000
Sio Kuadimika, Ni hakuna: Njombe na Iringa hasa sehem Zenye baridi sana kama Mapanda Igeleke Ludewa na Makete,Mafinga na Makambako kuna sehem zipo remote sana na hata upatikanaji wake ni wa shida sana mwaka mzima hivyo matumizi ya condom huko ni jambo la ajabu!
Maaambukizi ya ukimwi huko yapo juu sana maana ngono zembe ni jambo la kawaida!
Pombe kule ndo kwao wanakunywa Ulanzi sana watoto mpaka wazee.
Ngono zembe kwa sana kwenye vilabu vya pombe
Ukimwi umeahika kasi sana. Maambukizi.yapo.juu

Note:Wanaume wengi mkoa huu hawajatahiriwa:
 
presider

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
808
1,000
Habari wakuu

Jana wakati narudi home majira ya jioni njiani nilikuwa nasikiliza radio kile kipindi cha Amplifaya cha Clouds Fm, kinachoendeshwa na mtangazaji Millard Ayo

Katika zile story zake kumi za siku mojawapo ikawa hii ya upungufu wa condoms katika maeneo mbalimbali ya mji wa Njombe

Upungufu huu unatishia kuongezea maambukizi ya UKIMWI katika mkoa huo huku ikizingatiwa kuwa mkoa huo ndio unaoongoza katika takwim za maambukizi ya UKIMWI hapa nchini

Je, condoms Ni biashara nzuri huko Njombe?

Upungufu huo umejitokeza katika nyumba za kulala Wageni, Bar, Lodges na hotel za mji huo.

Je wakazi wa njombe ni kweli wanapenda kudinyana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni fursa ya Biashara. Kwan box moja la Dume ni kias gan....? Box la Salama kias gan...? Box la Tatu Bomba kias gan....? Cdhan kama wataweza kununua Rough ride....? Msaada wa mtu anayejua Bei
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom