Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Swali kwa madaktari/Wajuvi naomba mnijuze,
Hivi ikikitokea mtu amepata ajari/damage ya kichwa na kupata madhara ya kufuta kumbukumbu zake zote yaani kila kitu kimefutika kichwani(Kama ni memory tuseme imekuwa formated) je?
1:Kama alikuwa na uwezo wa kusoma na kuandika ataweza kukumbuka Alphabet hapa namaanisha haitoadhiri Uwezo wake wa usomaji kwa maana hatoitaji tena kwenda shule kujifunza a e i o u?
2:kama alikuwa ni dereva wa gari/Baiskeri, Piki piki N. K, akitoka hapo ataweza kuviendesha vyombo hivyo kama zamani au ataitaji kujifunza upya?
Ni hayo machache tu mengine watauliza wengine.
CC Zero IQ