IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Wadau naomba msaada mh ni mtumishi wa umma km wengine tu,analipwa mshahara kwa kawaida kwa mtumishi yoyote mshahara uwa haukidhi mahitaji kamwe.
Sasa mh Rais km walivyo watumishi wengine najiuliza uwa anaishiwa? Km haishiwi anatoa wapi pesa ? Najua unajua familia zetu nyingi ni tegemezi kwake inakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mh Rais km walivyo watumishi wengine najiuliza uwa anaishiwa? Km haishiwi anatoa wapi pesa ? Najua unajua familia zetu nyingi ni tegemezi kwake inakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app