Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 520
BILA CLOUDS HAKUNA STAR YEYOTE ANGETOKA.
.
@josephkusaga anaeleza kwamba nchi hii iliweka ugumu sana kupokea muziki wa kizazi kipya. Anasema baada ya kuona muziki wa vijana unakataliwa kwenye redio ndio wakaanzisha Clous Fm, Redio iliyotoa nafasi ya muziki kusikika na hapo ndipo 'mastar' walizaliwa.
Kwa msisitizo Joseph alisema " Utake usitake bila Clouds HAKUNA STAR YEYOTE ANGETOKA, hata watukane waseme nini... ila bila Clouds wasingekuwa walipokuwa"
.
.
#Clouds19