Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nimeona kuna picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha ‘mugshots’ za akina dada na akina mama wakiwa wameshikilia vijikaratasi vyenye taarifa zao - majina, umri, makosa...
14 Reactions
29 Replies
5K Views
Ripot ya bank ya dunia imetoka Ripot hiyo inaeleza kuwa tanzania ni miongon mwa nchi chache zenye mafukara wa kutupa Bank hiyo inadai kuwa ndan ya mwaka huu mafukara wameongezeka na kufikia...
8 Reactions
54 Replies
6K Views
Naam! Kama mlivyoona salary imetoka bila kuwa hata na nyongeza! Kwa maana hiyo ni mwaka Wa 4 sasa huu,... Nashauri yafuatayo kwa wafanyakazi wenzangu... 1. Kama tumeweza kuishi bila hiyo...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Picha MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) utaanza msako wa ofi si kwa ofi si, kampuni kwa kampuni kuwasaka waajiri ambao hawajawasajili wafanyakazi katika mfuko huo na wasiopeleka makato ya...
1 Reactions
4 Replies
45K Views
Mtu mmoja aliwahi kusema, "ukichukua fedha zote ulimwenguni na ukizagawa sawa sawa kwa kila mmoja, baada ya mda hela zitawarudia wale walio kuwa nazo mara ya kwanza" Kwanini? ......."Maskini ni...
18 Reactions
65 Replies
6K Views
Mzuqa wadau wote humu. Kuna ka'usemi flan kamekuwamo humu juu ya tittle hapo juu. I'd like to declare my interest, Mimi ni CCM-Lialia na mfuasi haswaaaaaa, wa Mhe.JPM. Mimi na wenzangu tukimsema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wandugu na jamaa......... Natumaini sote tu wazima wa afya na tunaendelea na shughuli zetu za kulijenga taifa..... Kuna ndugu yangu mmoja alijaaliwa kiasi fulani cha pesa na akaamua...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
*Dodoso la kumpokea dada au kijana, msaidizi wa kazi za nyumbani* 1. Majina kamili 2. Umri 3. Historia ya familia 4. Historia ya elimu 5. Historia ya Afya 6. Historia ya kazi na kwanini aliacha...
50 Reactions
75 Replies
9K Views
Binafsi huwa napenda Sana mavazi ya huyu Rais huwa yuko simpo Sana.
22 Reactions
109 Replies
13K Views
Naomba kueleweshwa tu namna ya kuzama humu jf bila kutumia internet, yaan ile ya kuitwa freebase, nihayo tu.
1 Reactions
8 Replies
965 Views
Pongezi kwa vijana wa kike na Kiume wanao graduate msimu huu, hongereni sana , lakini niwaambie mjiandae pia kisaikolojia baada ya Sherehe kwisha Mtaani pagumu ndugu zanguni. Only ubunifu Ndio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Korea Kaskazini yatoa onyo kwa Korea Kusini kwamba ni vigumu kujilinda dhidi ya kombora lake jipya Korea kaskzini ilirusha makombora yake mawili katika bahari ya Japan Korea Kaskazini imetaja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila siku anapokuwa na mwenye nchi yake katika dhifa zozote zile Professor Norman Sigalla akipewa nafasi ya kuongea basi ataitumia vilivyo katika kumsifu na kuwabeza wale critics wote wa mwenye...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Awe ni mdada mstaarabu. Nina nafasi mbili kwa wadada. But nasisitiza awe mstaarabu na msafi.tuwasiliane inbox. Chonde chonde asiwe mke wa mtu.kwenye gari nipo mimi na jamaa yangu.. so sana sana...
1 Reactions
100 Replies
9K Views
Kuna mende mmoja simuelewi usiku huu maana tofauti na mende wa kawaida yeye anapaa kama popo. Anauwezo wa kupaa umbali mrefu bila kutua au kuzunguka muda mrefe bila kutua tofauti na mende wa...
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Airtel wako vizuri sana vifurushi vyao hasa vya internet. MB hazipukutiki haraka kama walivyo wezi Vodacom na Tigo.Huku ni moto mbaya. Airtel laini ya chuo ukiweka TZS 6'000 kwa mwezi inatosha...
4 Reactions
46 Replies
10K Views
Kama raia wa kawaida kabisa "rootgrass citizen" napenda kuungana na sauti nyingine kutoka chini kabisa,sauti za wapiga kura ambao baada ya kupiga kura hurudi majumbani ili kusikiliza matokeo na...
1 Reactions
6 Replies
668 Views
Ni wakati muhali sasa vituo vingine vya habari kama Channel Ten,Star TV na TBC 1 wakaunga mkono juhudi kwa kutuletea habari kwenye nchi nyingine za Afrika Mashariki ili wananchi tupate kujionea...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Swali la kujiuliza juu ya vita ya Kagera ya mwaka 1978 – 79 ama Tanzania na Uganda ni je vita hii ilisababishwa na nini? Hisia na imani za watu wengi kuanzia kwenye vitabu, majarida na magazeti...
3 Reactions
62 Replies
29K Views
Papa Francis ameshutumu njia za udanganyifu miongoni mwa wale wanaosambaza habari bandia akisema kuwa kisa cha kwanza cha habari bandia kipo katika biblia wakati Eve alipohadaiwa na nyoka kula...
10 Reactions
376 Replies
43K Views
Back
Top Bottom