Mavazi ya Uhuru Kenyatta huwa yako simple na yanavutia

namba force

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
758
434
Binafsi huwa napenda Sana mavazi ya huyu Rais huwa yuko simpo Sana.
tapatalk_1562478221602.jpeg
 
Muhuni hadi raha, alafu kichwani zimo si umekaona hako kaandunje ka pembeni yake kanajifanya kana itikadi za kibabu alafu kanavaa kishamba shamba
Mkuu usimbeze babu mheshimu, kwasababu na wewe Mungu akikuweka vizuri utakua hivo hivo.

Ndio maana kuna misemo; Hata babu alikua kijana.

Halafu Mungu alivokua wa ajabu, watu kama wewe wanaoleta dharau kwa mababu hua anawaweka mpaka waje kuuona ubabu jinsi ulivyo, yaani mpaka utatembelea mkongojo.
 
Hizo story za kutishiana sijui Mungu huwa anafanya hivi na vile kwa wenye dharau ni zilipendwa.
Mungu hana mambo ya kibinadamu sijui nimekucheka wewe kwa sababu una masikio makubwa basi atanipa na mimi au uzao wangu ni dhana tu na uoga Mungu hayuko hivyo.

BTW magufuli ni babu ambaye hajui kuvaa kumshinda kenyata yani kwa sisi wasukuma tunasemaga mashkolo mageni na kuvaa kwake kaunda suti hata haijampendeza
 
Back
Top Bottom