KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 18,896
- 36,213
Habari wandugu na jamaa.........
Natumaini sote tu wazima wa afya na tunaendelea na shughuli zetu za kulijenga taifa.....
Kuna ndugu yangu mmoja alijaaliwa kiasi fulani cha pesa na akaamua kununua nyumba....baada ya kukamilika kwa utaratibu wote wa mauziano na makabidhiano jamaa akahamia rasmi......
Wiki ya kwanza mambo yalikwenda vizuri...lakini week la pili mambo yakaanza kubadilika....vibweka na vitimbi vya kutisha vikachukua nafasi.....mara anasikia mtu anapika jikoni lakini akienda hakuti mtu.....muda mwingine wakati watu wote wamelala na ni usiku mkubwa anasikia tv inawaka katika mazingira ambayo kuna watu wanaangalia akija kutazama anakuta kweupe huku Tv ikiendelea kuwaka.....kipindi fulani alijua labda wanawe walijisahau kuzima lakini hali huwa hivyo kipindi ambacho yeye amekuwa wa mwisho kutazama na kuzima.....
Wakati mwingine anasikia visindo na pilika kama za watu wanaofanya kazi za nyumbani......wakati mwingine unaanza msimu kutandikwa bakora kila waingiapo vyumbani kulala....hali hii ilimshinda rafiki yangu mpaka akaamua kuhama na kwenda kupanga.....na nyumba akaiacha huku akifanya mipango ya kiuza.....
Niliwahi kupanga chumba mitaa fulani hapa jijini....ambacho kilikuwa na mauza uza mengi ambapo ilinilazimu kuikimbia kodi na kutafuta chumba kingine.....
Nina ndugu na marafiki zangu wengi tu walioterekeza viwanja vyao kutokana na kushindwa kuhimiri vibweka.....
NB; tunapotaka kununua nyumba au viwanja ni vyema tukajipa muda na kupata taarifa za kutosha kuhusu hayo maeneo au hizo mali kwani vingine vina damu za watu waliodhurumiwa au kuuwawa.....