Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,139
Naomba kueleweshwa tu namna ya kuzama humu jf bila kutumia internet, yaan ile ya kuitwa freebase, nihayo tu.
Shukran sana madamewww.freebasics.com halaf tafuta jamii forum kwa list then uta log in kwa userne na password yako utakua tayar unaperuzi free
Nimefanya hvyo mkuu, na nikalog in kama kawaida ikakubali bt kupitia data kwa on baada ya hpo nikizima data hakuna kinachofunguka.Shukran sana madame
Ifuate play store utaikuta huko hukoNaomba kueleweshwa tu namna ya kuzama humu jf bila kutumia internet, yaan ile ya kuitwa freebase, nihayo tu.
haina haja ya kuzima data mkuu, unawasha data na hutumii mbs zakoNimefanya hvyo mkuu, na nikalog in kama kawaida ikakubali bt kupitia data kwa on baada ya hpo nikizima data hakuna kinachofunguka.
Eatel nayo inasapot mkuu nami mwanzo nilijua hivyo inachotakiwa nikuifungua free basic juu kulia kuna vile vidot vi3 vilivyojipanga kwa wima ukvigusa ivo kuna menyu zitatokea menu yakwanza kabisa imandikwa + Huduma zaidi ukiclick hapo itakuletea box la search hapo utaandika jamii forum itakuja na ukiigusa itaenda kujipanga ktk menu zako kama kawaidaIsipokuwa tu airtel ndio hai support mkt