Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna...
7 Reactions
105 Replies
17K Views
Ukiwa Dar es salaam kifurushi cha chuo kina dakika za maongezi na Mb za kutosha ila ukija Kanda ya ziwa unapewa ni tofauti kabisa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni bint mdogo wa miaka 13-15. Anajiamini anaongea bila woga akiwa anahojiwa na Walimu. Bint huyu anasimulia mambo makubwa ya hovyo ambayo yeye hutenda akiwa na bibi yake na ndugu zake wengine wa...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Serengeti. Mtumishi wa Hifadhi ya Wanyamapori ya Ikona, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wilaya ya Serengeti kwa kosa la kukutwa na nyama ya nyumbu. Mwendesha mashtaka wa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Maisha ni safari ndefu; Kuna wakati, majira na vipindi mbalimbali kama binadam tunapitia, Binadam Tuache unafiki; Mtu akiwa madarakani marafiki mnakuwa wengi wakubwa kwa wadogo, simu mnapigiana...
19 Reactions
27 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limendesha oparesheni kabambe ya kuwasaka na kuwakamata machangudoa na wamiliki wa madanguro katika maeneo mbalimbali ya jiji la hapa. Akizungumza na...
5 Reactions
116 Replies
20K Views
Nimeona news kwa brief IPP MEDIA wamebadili CEO. Joyce Mhavile out...wameteua mwingine. Je Mhavile anaondoka IPP for good? Kuna any news behind this news? Siasa? Uchaguzi? Kwenye EATV news...
8 Reactions
99 Replies
26K Views
Ofisi na uongozi wa Bodi ya pamba unaendesha mnada wa furniture za ndani ya ofisi ya pride Tanzania baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango. Aise hii ni aibu kubwa pride Tanzania wamefiliska kabsa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kuna mtu kaniambia kuna kampuni inaitwa Rollover Global Movers!
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka mwisho wa zama za Kikwete kulijengwa uwanja mkubwa wa ndege kule Mpanda na tulielezwa kuwa Uwanja huu utakuwa ni kichocheo cha uchumi wa Mikoa hii Rukwa na Mpanda kwa kuboresha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Anaitwa Pascal Cassian yuko Muhimbili hali yake ni mbaya sana , yasemekana alipata ajali , Msaidieni jamani . kutoa ni moyo na Mungu atawalipa
3 Reactions
61 Replies
12K Views
Habari wana jamvi Limeibuka wimbi la uvamizi kwenye makazi hasa mitaa ya goba, salasala, bunju na Boko ambapo wezi wanaiba tv na vifaa vingine vya umeme muda wa usiku. Ni vyema kuwa makini...
7 Reactions
40 Replies
8K Views
Jioni moja ya mwaka 2015 nikiwa ofisini kwangu kariakoo nilipokea mteja. Alikua kijana wa kisasa, alivalia pensi (sio kaptula) nzuri tshirt na raba, pia alivaa miwani ya jua. Baadae nikaja...
28 Reactions
19 Replies
5K Views
Sijui kwanini siku hizi waandishi mmeacha kuandika (Habari za uchunguzi). Kutokana na ongezeko la maafisa feki katika taasisi za afya na majeshi hususani Tiss na polisi ipo haja ya kutafta chanzo...
0 Reactions
1 Replies
728 Views
*NUKUU ZA KATIBU WA NEC, ITIKADI NA UENEZI NDG. HUMPHREY POLEPOLE AKIFANYIWA MAHOJIANO NA GG FM RADIO* - TABORA 1. "Ndg. Magufuli ana maono yake makubwa na Kila awamu huwa ina mtindo wake, kila...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Shughuli za ujenzi wa Gati jipya Bandari ya Mtwara litakalokuwa na urefu wa mita 300 sawa na urefu wa viwanja vitatu vya mpira wa miguu zinaendelea.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi, Wanasayansi wa anga wa Urusi na NASA wa Marekani wameapa iwe iwavyo hawatakaa waende tena kwenye sayari ya mwezi ambayo ipo umbali wa maili 380,000 kutoka duniani. Inasemekana kuwa...
2 Reactions
50 Replies
23K Views
Habari za jioni Wakuu.. Leo hii nimekaa na kutafakari, hasa kwa kuangalia mfululizo wa matukio ya maisha ikijumuisha ups and downs na kuja na hitimisho kuwa hili "fumbo la maisha hakika pamoja na...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Labda uzi huu utanisaidia kubadili mtazamo dhidi ya wanawake katika utendaji wao wa kazi maofisi. Sio wote,ila wengi wao ni wasumbufu sana. Wanashindwa kuendana na kasi ya kazi hasa ofisi zilizo...
10 Reactions
46 Replies
6K Views
Back
Top Bottom