Hongera Kenya kwa uaminifu.

Hongera Kenya kwa uaminifu.

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,920
Reaction score
6,899
Kama raia wa kawaida kabisa "rootgrass citizen" napenda kuungana na sauti nyingine kutoka chini kabisa,sauti za wapiga kura ambao baada ya kupiga kura hurudi majumbani ili kusikiliza matokeo na kisha kuendelea na masuala yao ya kila siku.
Tunashukuru kwa dhati kabisa kitendo walichofanya jirani zetu Wakenya na kukiweka waziwazi katika wakati huu ambao ninaweza sema ni wakati muhimu sana strategic time kwa Afrika kujitambua,wakati ambao Uafrika una thamani ndani ya mipaka yake.
Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyata amekuwa akisema mara kadhaa "Mungu hukupangia jirani ila hakuchagulii marafiki"...Kenya imeonesha ujirani kwa kitendo.
Nikitathmini kiasi cha madini yaliyokuwa yanaibwa napata picha kuwa hao wezi siyo mara yao ya kwanza na inawezekana wamefanya mchezo huo mchafu kwa kitambo sasa ila upo msemo usemao "za mwizi 40"..
Asante Kenya
Asante jirani
 
Tunashukuru kwa dhati kabisa kitendo walichofanya jirani zetu Wakenya na kukiweka waziwazi katika wakati huu ambao ninaweza sema ni wakati muhimu sana strategic time kwa Afrika kujitambua,wakati ambao Uafrika una thamani ndani ya mipaka yake.

Their cows and chicks
 
Back
Top Bottom