Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haji alijitahidi sana kuvuta hadhira ya kuwa msemaji wa Simba Sports Club ambayo ni brand kubwa sana barani Afrika. Simba imemnyanyua sana hadi kuwa maarufu sana ingawa yeye kwa akili zake...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa moyo wa dhati nalishukuru jeshi la polisi kwa kusaidia kupatikana kwa simu yangu iliyokuwa imepotea. Niliripoti tukio la kupotelewa kwa simu yangu (smartphone nzuri sana) siku tatu zilizopita...
3 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakuu. Nimekuwa nikifuatilia magari ya Ikulu kadhaa nchi nyingi yanakuwaga na rangi nyeusi. Ni mara chache sana Ikulu kutumia magari meupe nk. Ni protocally au ni accidentally tu ?
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Akizungumza asubuhi ya leo katika Kipindi pendwa cha Tuongee Asubuhi Jicho la Habari cha kila Jumamosi kinachorushwa na Kituo bora cha Runinga ( Television ) cha Star Tv Mwandishi wa Habari...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Anahitajika IT ambaye yuko vizuri.. Kama uko interested tuwasiliane... Mjulishe hata ndugu yako kama unaye.... Kumbuka ni ajira hivyo taratibu zote za ajira zitafuatwa kuanzia interview, CV nk
3 Reactions
6 Replies
953 Views
Ali Ibrahimu Haji mwenye umri wa miaka Thalathini Mkaazi wa Jambiani Kibigija amefariki dunia baada ya kutumbikia katika kisima huko jambiani katika Bar ya Maisha Pub Mkoa wa Kusini Unguja...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za Mapinduzi ya Zanzibar Waungwana! Mie na laazizi wangu hatujambo na tunapambana na kilimo maana huu ndio msimu wenyewe. Nimeharibikiwa na kifaa changu cha Westpoint hivyo nakuomba...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa kwamba HALIMTAMBUI "AMBER RUTY" kama msanii na hajasajiliwa na baraza kufanya shughuli za Sanaa kama msanii binafsi wala kama msanii katika...
2 Reactions
59 Replies
56K Views
Wafanyabiashara wa Maduka wakiwemo watumiaji wa barabara Katika mtaa wa Pare (Moivo )katikati ya Jiji la Arusha wamelalamikia kero ya magari Makubwa aina ya Fusso kuegeshwa barabarani kwa muda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Binti wa miaka 16 alitupigia akiripoti kuwa waalimu shuleni hapo hufunga geti la shule saa 12 asubuhi kabla ya muda ulopangwa wa saa 1 asubuhi. Lengo la waalimu hao ni kupata 'wachelewaji' na...
12 Reactions
25 Replies
7K Views
Miaka ya 1997 kurudi nyuma Mlima Kawetere uliopo pembezoni mwa jiji la Mbeya ulikuwa umefunikwa na miti ya kupandwa 'pine forest' lakini hivi sasa safu hii ya milima imesalia haina uoto...
2 Reactions
32 Replies
9K Views
Mwaka jana nilikuwa na rafiki yangu, katika mazungumzo tukakubaliana tutafute kazi ya kufanya ili kukabiliana na "mtaisoma namba" (maisha) tukapata kazi ya kutumia nguvu nyingi kama hujashiba...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Eneo la Mombasa ukonga wako vijana 4 hutembea wawili wawili, ni con men matapeli, hujifanya ma pastor kuombea watu kwa jina la yesu Wanamuombea mtu kumutoa mapepo huku wakitoa machozi na kuongea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa hiyo hapo juu na zingine nyingi zimekuwa zikikanushwa na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kuwa zimegushiwa. Kugushi taarifa kuwa imetoka Ikulu ni jambo la hatari sana, lakini inakuwaje hao...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nyakati zile enzi Ujerumani imegawanyika, kulikuwa na ukuta mkubwa wa Berlin unaozitenganisha Ujeremami Mashariki na Ujerumani Magharibi. Siku moja baadhi ya watu wa Ujerumani Mashariki walijaza...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mijadala inayoendelea kwenye Makundi mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, wakilaumu serikali kuwakata hela kwenye account zao bila taarifa Watumishi wamedai mshahara iliyotoka mwezi huu sio...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Msaidizi wa Injinia wa MV Mapinduzi amejinyonga wakati meli hiyo ikiwa njiani kutoka Unguja kuelekea Pemba, hali iliyosababisha meli hiyo kukatiza safari na kurudi unguja. Kamanda wa Polisi Mjini...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Habari wakuu, nimenunua Bajaji used, lakini kabla ya matengenezo nataka niisafirishe kwanza iende mkoani. Naomba kujua ukiachana na documents ambazo ni evidence kwamba nimeuziwa ni nini kingine...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jengo la Ofisi ya Rais-TAMISEMI ni Kivutio cha Mji wa Serikali Hii unaweza ukaiita Shikamoo TAMISEMI. Ujenzi wa Jengo la Kisasa kwa kutumia Force Account imethibitisha kwamba Serikali ya Dkt.John...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Nalizungumza hili nikiwa nimekumbana nalo mara kadhaa ninapokwenda TRA kulipa kodi, misururu ni mirefu na wafanyakazi wa TRA kumsikiliza mteja ni changamoto hasa ukizingatia umati unaomsubiri...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Back
Top Bottom