Usihalalishwe wala usiharamishwe

Usihalalishwe wala usiharamishwe

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,629
Reaction score
146,791
Leo nimeona kuna picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha ‘mugshots’ za akina dada na akina mama wakiwa wameshikilia vijikaratasi vyenye taarifa zao - majina, umri, makosa yao, na kadhalika.

Habari ni kwamba eti wamekamatwa wakifanya umalaya.

Kwa kweli hizo picha zimenifanya niwaonee huruma sana hao wadada/ wamama.

Sielewi kwa nini watu wa mamlaka huwa wanahangaika na hao watu wanaojiuza.

Ningekuwa nina uwezo wala nisingewasumbua kabisa mimi.

Sioni sababu wala mantiki yoyote ile katika kukataza watu wasifanye mambo ambayo kwa kawaida binadamu hufanya.

Binadamu tulio wengi tunafanya hayo mambo ya kujamiiana. Ni mambo ya kawaida kabisa maishani. Iwe tunayafanya kwa ajili ya starehe au kwa ajili ya kuongeza na kuendeleza kizazi, ukweli wa mambo ni tunayafanya.

Watu waachwe wajamiiane kwa uhuru na raha zao. Hilo tendo, kwa watu wazima walioridhiana, lisiwe halali wala haramu endapo wahusika watakubaliana kutozana na kulipishana pesa.

Kila siku watu wanakulana bure. Sasa wakiamua kupeana pesa baada au kabla ya tendo, tatizo liko wapi bana?

Waache kuwasumbua watu bana.

Wenu Ngabu

Mwanaharakati wa kutetea kukulana.

Boss Nyani Ngabu Iwapo napendaga baadhi ya Mada zako,
Kwa hili nakupinga kwa nguvu zote,
Kujaamiana na Tendo la Ndoa halijakatazwa,
Kumbuka hili tendo ni la Sirini,
Kukubali lifanyike kama Kuku ni Kinyume na Utamaduni na Mila zetu.
Hii ni njia ya kuwaogopesha na kuwazuia, maana mtu akijua nikikamatwa nitaanikwa, Wananchi watajua, So mwenyewe unaacha au unafanya kwa kificho.

Usije tu kuwa na wewe una support ... Ushoga.

Kwani mkilipishana pesa ndo mnaenda mnakulana hadharani? Si mnatafuta Loji au kichaka mnaenda mnakulana huko wenyewe bila wengine kujua...

Umetoa mfano wa kuku hapo....ushawahi kuona kuku wakikulana?
 
Naweza kufanana mawazo na muasisi wa uzi nikizingatia baadhi ya hoja za kijamii na uchumi ...kwani biashara hii inafaida kadhaa ...
Kukidhi haja za hisia ambazo ni ngumu kuziepuka
Kuepuka jinai ya kubaka
Uchumi
Chanzo cha kipato
Kuhamasisha biashara nyingine (pombe)
 
Boss Nyani Ngabu Iwapo napendaga baadhi ya Mada zako,
Kwa hili nakupinga kwa nguvu zote,
Kujaamiana na Tendo la Ndoa halijakatazwa,
Kumbuka hili tendo ni la Sirini,
Kukubali lifanyike kama Kuku ni Kinyume na Utamaduni na Mila zetu.
Hii ni njia ya kuwaogopesha na kuwazuia, maana mtu akijua nikikamatwa nitaanikwa, Wananchi watajua, So mwenyewe unaacha au unafanya kwa kificho.

Usije tu kuwa na wewe una support ... Ushoga.
Ngoma sio utamaduni wetu? Je hakuna ngono za namna ifananayo na hiyoo ...kuna zile siku za mwishoni za Jando au unyago ambazo ngono zembe hutawala na kuhusu vigodoro
 
inasikitisha sana katika hao waliokamatwa wengi ni member wa humu JF,nimemuona katoto kazuri naye yumo katika hao malaya
 
Hao ma police badala ya kuwa harass hao wadada, nguvu zao zingekuwa directed kwingine ambako kutakua productive zaidi...tunapoteza nguvu kazi kwa mambo ya kipumbavu!
 
Mwanaharakati wa kukulana? Shikamoo anko Juju [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boss Nyani Ngabu Hao wanajiuza .. kuna tofauti kubwa sana kati yao na wengine ....
Kuku wanakulana sirini ????
Swala hapa ni Hadharani na Sirini.
Ukifanya Hadharani ni Kosa, Fanyia Porini au Sirini huko.
Maana Swali, unafundisha nini Watoto wetu, wanapoona Malaya wamezagaaa Mitaani kama Njugu ??? !!!

Kwani mkilipishana pesa ndo mnaenda mnakulana hadharani? Si mnatafuta Loji au kichaka mnaenda mnakulana huko wenyewe bila wengine kujua...

Umetoa mfano wa kuku hapo....ushawahi kuona kuku wakikulana?
 
Boss Chief Editor Hizo nazo ni Kosa Boss, Inatakiwa ifike mahali tuchambue Baadhi ya Tamaduni na Mila zetu,
Kuna Tamaduni na Mila zetu zimepitwa na Wakati.
Mfano ni huu uliotolea wa Jando na Unyago, Lengo lake lilikuwa ni zuri tu, Lakini Watu wametake Advantage yake, Ndio likazaa Ngono zembe na hivi Vigodoro.
Lakini lengo lake lilikuwa ni kuwandaa Vijana wetu waje kuwa Wake na Waume wazuri.

Ngoma sio utamaduni wetu? Je hakuna ngono za namna ifananayo na hiyoo ...kuna zile siku za mwishoni za Jando au unyago ambazo ngono zembe hutawala na kuhusu vigodoro
 
Boss Nyani Ngabu Iwapo napendaga baadhi ya Mada zako,
Kwa hili nakupinga kwa nguvu zote,
Kujaamiana na Tendo la Ndoa halijakatazwa,
Kumbuka hili tendo ni la Sirini,
Kukubali lifanyike kama Kuku ni Kinyume na Utamaduni na Mila zetu.
Hii ni njia ya kuwaogopesha na kuwazuia, maana mtu akijua nikikamatwa nitaanikwa, Wananchi watajua, So mwenyewe unaacha au unafanya kwa kificho.

Usije tu kuwa na wewe una support ... Ushoga.
Ebu tuwekee list ya Mila Zetu na utamaduni nasi tuzitambue, kila siku nasikia Kitu fulani sio mila na utamaduni wetu, mimi sijui utamaduni wetu ni upi, na wala hizo mila zetu sizitambui unaweza kunisaidia kwa kulist japo kumi na zimeandikwa kitabu gani KATIBA au ILANI ya chama tawala?
 
Boss Nyani Ngabu Hao wanajiuza .. kuna tofauti kubwa sana kati yao na wengine ....

Ok, ngoja nione kama utaionyesha hiyo tofauti iliyo "kubwa sana".

Kuku wanakulana sirini ????

Kuku wanakulana popote pale.

Swala hapa ni Hadharani na Sirini.

Okay...

Ukifanya Hadharani ni Kosa, Fanyia Porini au Sirini huko.

Sasa kwani madada poa wanafanyia hadharani?

Maana Swali, unafundisha nini Watoto wetu, wanapoona Malaya wamezagaaa Mitaani kama Njugu ??? !!!

Kwani huko mitaani huwa wanakulwa hadharani?
 
Hatar sana!
tapatalk_1564056676202.jpeg
tapatalk_1564056648822.jpeg
tapatalk_1564056635186.jpeg
tapatalk_1564056620206.jpeg
tapatalk_1564056606875.jpeg
tapatalk_1564056563559.jpeg
tapatalk_1564056558649.jpeg
tapatalk_1564056543729.jpeg
tapatalk_1564056510440.jpeg
tapatalk_1564056494887.jpeg
tapatalk_1564056477070.jpeg
tapatalk_1564056463931.jpeg
tapatalk_1564056399664.jpeg
tapatalk_1564055524441.jpeg
tapatalk_1564055457576.jpeg
tapatalk_1564055406341.jpeg
 
Boss Nyani Ngabu Hao wanajiuza .. kuna tofauti kubwa sana kati yao na wengine ....
Kuku wanakulana sirini ????
Swala hapa ni Hadharani na Sirini.
Ukifanya Hadharani ni Kosa, Fanyia Porini au Sirini huko.
Maana Swali, unafundisha nini Watoto wetu, wanapoona Malaya wamezagaaa Mitaani kama Njugu ??? !!!
Hao watoto wenu inabidi mkawalee porini wajifunze mazingira ya miti na ndege wakikua muwalete uraiani maana imekua too much sasa kila kitu watoto wetu wanajifunza nini watoto wetu wanajifunza nini,

Halafu nikwambie kitu, biashara ya ukahaba ni biashara kongwe sana hata Yesu aliikuta na akaiacha,

Swali linarudi kwako, huyo Malaya anajiuza kwa nani??
Mtu akifanya umalaya wewe ambae hufanyi unaathirika kwenye lipi?
 
Boss Nanye Go Kwani Tamaduni na Mila lazima ziandikwe??? !!!
Mbona Mifano ipo Mingi,
Tuanzie na CCM, Tamaduni zao kwa Mwenyekiti na Rais wao ni Tamdaduni zao ni kuongoza kwa Vipindi viwili, Rejea Mtifuano wa sasa.
Huo ndio Utamaduni wao CCM,
Ukija kwenye Makabila yetu, Kila Kabila lina Tamaduni na Mila zake, Kama wewe si MTanzania hautanielewa na sina haja ya kukuambia na kukuelimisha.
Hope nimekupa Darasa Dogo tu.

Back
Top Bottom