Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mnapofanya kazi pamoja kwa ajili ya maslahi mapana huwa mnakubaliana kulindana, na siri zisitoke nje, udhaifu wa kila mmoja unafunikwa, na makosa ya kila mmoja yanafichwa, kama hamuwezi kutunziana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nitaeleza kwa kifupi kabisa. Lengo ni wasio fatilia waone Nafasi za Ajira kajitahid kuongeza. Wananchi mnaofanya kazi serikalini na watu wazima ambao kipindi cha utafutaji ajira serikalini...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF Naomba msaada, mimi ni mzazi sina elimu na vyuo. Mtoto wangu kamaliza form six nilikuwa namtafutia chuo kwa bahati nilikutana na kampuni siitaji jina ya kupeleke wanafunzi tarehe...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kunguru ni ndege mshenzi sana. Asubuhi hii kuna ndege mdogo kaangua vifaranga vyake huyu kunguru akavila na mimi kwa hasira nimekwea mnazi, nimechukua mayai tano kwenye kiota cha kunguru...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
"Takwimu zinaonesha kila Mtanzania anatakiwa kula nyama kilo 50 kwa mwaka, lakini Watanzania ni wavivu kula nyama ndiyo maana kwa sasa takwimu zinaonesha kila Mtazania anakula kilo 15 tu kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni Waziri wa Madini Dotto Biteko akiwa jijini Arusha aliahidi kuwalipa sh,Mil.5 askari polisi waaminifu waliofanimisha kukamatwa kwa shehena ya Madini mbalimbali yenye uzito wa kilo 34...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasalim wakuu, Nimefanya research ndogo na nimefikia conclusion ya kwamba wake zetu wanaamini sisi tutakufa na tutawaacha. Na huwa wanatamka kwamba mume wangu tujenge isije likatokea lakutokea...
66 Reactions
223 Replies
22K Views
Sijui huwa wana kasumba gani utakuta umekwenda ofisi fulani kupata huduma halafu mtumishi anakwambia ”ujue mimi niko kazini ungekuwa unafanya kazi ungejua” labda niwakumbushe Tanzania ina idadi ya...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Phishing occurs when a third party attempts to impersonate a genuine source to send or infiltrate fraudulent communications. Typical examples include impersonating banks, insurance brokers and...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Nilipita mikoa ya Kanda ya ziwa kunatia huruma hakuna maendeleo sehemu nyingi.Nashangaa Kama kagera Kuna maprofesa wengi Lakini hawawekezi kwao vitega uchumi.Yaani watu wenye uwezo wengi wa Kanda...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Rejea BARUA INAYOLETWA LEO KUNA KIJANA ALITUSUMBUA SANA TUKAA KIMYA AKAMVAMIA MAMA MMOJA USIKU...NAMINI TULICHOMFANYIA ATOSAHAU AKAISHIA KUFUNGWA MIAKA MINNE MAJUZI AMEONEKANA AKIWA MTAANI NA...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wadau; Binafsi huwa napenda kufikiri nje ya Box.Gharama na muda wanaotumia Utumishi katika kuwaita watu kwa mitihani kusahihisha n.k.unaweza kusahihishwa kwa kuleta mfumo wa Aptitude test...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
"Mtu anaponiambia mapenzi ama ndoa za siku hizi zinasumbua; huwa namuuliza 'Kwani kuna kitu gani cha siku hizi kisichosumbua?' Ukweli ni kwamba kila kitu kwenye zama za sasa kinasumbua. Mapenzi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Image copyrightAFP Image captionPolisi wakikabiliana na waandamanaji awali mjini Paris Maafisa wa polisi katika mji wa Beaumont-sur-Oise, Ufaransa wamekabiliana na waandamanaji baada ya kijana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama ni wewe ungenunua IPI kati ya hizi SIMU 2 na kwa nini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani kichwa cha habari Nitembelee mitaa gani mtu ameshaona kuna ukuta wa kuzungushia kwenye eneo la nyumba ambao unavutia. Usiwe ukuta mtu wa nje anachora ramani kuona ndani wala pia usiwe...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Katika Jedwali la kodi la TRA unatumika mfumo wa kutumia turnover kukadiria kodi. Kwa mtu mwenye turn over isiyozidi milioni 20 analipa presumptive tax ya tzs 865000 ambayo ni sawa na kama 5% ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimeona nifunguke jamani,kweli kabisa wala sitanii niliwahi kumuona Mh.Mrema tu kipindi kile cha miaka ya 90 Alikuja maeneo ya shuleni kuomba kura.Kwa kweli hata hawa wasanii wote kuanzia kina...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nauza Hard Drive za Desktop 2T kwa Tsh 200,000/= na 500GB Kwa Tsh 100,000/= anaehitaji aje inbox. Maongezi yapo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenarali Marco Gaguti ameiagiza halmashauri ya wilaya Biharamulo mkoani humo kuhakikisha inawachukulia hatua watumishi waliohusika na ubadhilifu wa fedha za umma...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom