Habarini za saa hizi ndugu. Ninaamini humu kuna watu wenye experience mbalimbali za maisha. Wapo wenye umri mkubwa (waliokula chumvi nyingi) lkn pia wapo waliopitia visa na mikasa mbalimbali...
Aliyekuwa Waziri wa Mazingira Mbunge wa Bumbuli January Makamba amemkabidhi Waziri mpya katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano & Mazingira) George Simbachawene ambaye ameteuliwa na Rais Magufuli...
Mtanzania Lucious Kawogo maarufu kama Chambinga (42), anamiliki shamba la mende ambao huwafuga kwa ajili ya kuwauza kwa wateja kama chakula. Chambinga alalamika wateja ni wengi mpaka bidhaa za...
Ndugu miaka ya 1980 hadi 1900s tulishuhudia Ndugu zetu wakifa vibaya kwa mateso sana kwa ugonjwa ulikuwa hautambuliki vizuri wengine wakiuita na kusema kakanyaga miwaya, kapandisha genji, umeme...
Vifaranga hivyo ni mali ya Mary Matia (23), vyenye thamani ya Sh12.5 milioni.
Vilikamatwa mpakani Namanga vikitokea nchini Kenya.
Watetezi wa haki za wanyama wamelaani kuteketezwa vifaranga...
Watu wa kanda maalum, nina arosto sana na kichuri, yaani koo limekauka, nakula sishibi hii yote ni kutokana na kumiss sana kile chakula chetu pendwa yaani kichuri.
Kwa anaejua naomba anielekeze...
Ni vizuri muajiri (short-term au long-term) young PhD holders kama njia ya ku build their capacity. Hususan young PhD holders waliosoma baadhi ya degrees zao ughaibuni. Mu waajiri, vile vile kama...
Maji ya kandoro sio jina geni kwa wakazi wa Pwani, na jina la Marehemu Kandoro alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Maji hayo maarufu yalikuwa/yako kwenye mfuko wa laini wa plastiki na huuzwa...
BARAZANI
Na Ahmed Rajab
MIAKA 55 tangu Jamhuri ya Watu wa Zanzibar iunganishwe na Jamhuri ya Tanganyika kuunda Muungano wa Tanzania bado kuna utata mkubwa kuhusu muungano huo. Hili si geni. Wala...
FUNDI gereji Ali Ameir Mshenga (14) mkaazi wa Mtoni Kidatu, amefariki dunia mara baada ya kuangukiwa na gari wakati alipokuwa anafungua ringi la gari hiyo.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo...
Amani iwe kwenu ndugu wadau na waagizaji wetu wa magari.
Kwa uzoefu wetu katika tasnia hii ya kuagiza magari kutoka nje ya nchi, tumeweza kubaini kua ushuru mkubwa kwa gari zinazoingia nchini...
Habari!
Kama wewe umesoma shule ya msingi bila kujali umehitimu mwaka gani darasa la saba.Basi tambua kuwa wewe ni muhenga. Hakika mimi ni muhenga:-
[emoji637] Hakika wewe ni muhenga ; kwa wale...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Naomba kwa anaejua gharama za kuweka terrazo nje badala ya paving block natamani sana sakafu ya terrazo ila naona mafundi sio wengi sana kwa anaejua naomba...
There's a lot of misinformation about the causes and treatments of erectile dysfunction (ED). To know the facts, you may need to bust some myths along the way.
Myth: ED is a normal part of...
...Nchi yangu Tanzania, ni Mwenyezi Mungu Muumba Mbingu na Nchi pekee ndie tegemeo lako sasa hivi. Watoto wako (waliozaliwa kwenye hii ardhi inayoitwa kwa jina hili uitwalo sasa) HAWAJUI TENA...
Nimenunua vocha ya buku baada ya kuiingiza nikataka nijiunge kifurushi cha mb,nimejaribu kama Mara mbili ikaja msg kuwa nijaribu baadaye,nikakaa baadaye ya muda bila kufanya chochote maana...
Kama Mungu angeniuliza anifanyie nini kwa mwaka huu, ningemuomba alifute shirika la Tanesco! Kuletewa umeme utafikiri unauomba nje ya nchi. Gharama zenyewe kubwa, huduma mbovu halafu hawataki...
Watu hao wameuawa katika vurugu kati ya Wananchi wakazi wa kisiwa cha Siza na Askari wa Jeshi la Polisi
Afisa huyo wa Kanda ya Ukerewe ameuawa baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.