Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
Nimeona watu wananipakazia ujinga wa kuomba omba hela jukwaani, Nilisha sema kuwa nitaendelea kuwa mwiba Mchungu kwa wadada omba omba na mapunga ya humu. Pakazieni mpaka mchoke, ila mwiba uko...
6 Reactions
27 Replies
276 Views
  • Redirect
Iko hivi Usiruhusu mtu kutekwa, usiruhusu wewe kutekwa. Acha kulinda amani za watekaji. Sio unaona mwenzio anatekwa tena sehemu kama Kariakoo wewe unaishia Kupiga picha tu, uko sawa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kagera inashuhudia hatua kubwa za maendeleo! Barabara ya Lusuhunga–Rusumo imefikia 69%, ikifungua fursa za biashara, kurahisisha usafirishaji na kuimarisha uhusiano wa kikanda. Ni utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Anapokufa tajiri, kiongozi mkubwa au mtu maarufu sana watu wanapagawa na kukipamba sana kifo. Wanaongea misemo na maneno mengi mno kuonyesha utajiri, maisha mazuri na ukuu sio chochote. Huu ni...
0 Reactions
14 Replies
121 Views
Habari wanajukwaa. Wakuu natambua humu kuna wajuzi wa mamb mbali mbali. Nina dhamira ya kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote. Ninaomba nipate mtu anaejua biashara hii...
2 Reactions
13 Replies
179 Views
Shida ni nini Takwimu zinaonyesha matumizi ya Bangi yameongezeka sana kwa vijana
10 Reactions
84 Replies
501 Views
OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI. NITASIMAMA. Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao. Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga...
0 Reactions
8 Replies
91 Views
Mtu anauliwa kwa kukatwa kiungo kimoja kimoja kweli? 🥹 kwanini watu wengine hawana roho ya ubinadamu asee?
5 Reactions
41 Replies
435 Views
Jeshi la Polisi limemkamata Faustine Zakaria, kinyozi kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana katika picha mjongeo akifagia noti alizokuwa amezitawanya sakafuni pamoja...
4 Reactions
25 Replies
523 Views
Uingereza yaadhimisha kumbukumbu ya mashujaa Mwandishi Wetu HabariLeo; Monday,November 12, 2007 @00:06 SERIKALI ya Uingereza jana iliadhimisha kumbukumbu ya mashujaa wa nchi wanachama wa Jumuiya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
USEMI wa Rais Jakaya Kikwete, alipochukua uongozi wananchi, kwamba anakusudia kuendesha uongozi wake akijenga katika yale yaliyofanywa na mtangulizi wake, Rais mstaafu Benjamin Mkapa, unaweza kuwa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
2 Reactions
1 Replies
100 Views
Fahamu mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya wananchi wasiojua kusoma wala kuandika nchini Tanzania, kulingana na ripoti za takwimu za kitaifa. Tabora — 32% Katavi — 29.6% Rukwa — 25.9%...
0 Reactions
7 Replies
126 Views
Baby Love alikuwa msichana kijana kutoka Haiti aliyekuwa akitengeneza maudhui kwenye TikTok, huku akiwa na ndoto ya kupata umaarufu mkubwa na kuongeza idadi ya wafuasi wake. Katika harakati hizo...
3 Reactions
6 Replies
639 Views
Hii nchi mbona ni kama haieleweki enyewe. Israeli iko mashariki ya kati ambayo kiuhalisia ni bara la asia lakini vilabu vyake vinacheza uefa na hata timu yake ya taifa inacheza michuano ya ulaya...
2 Reactions
12 Replies
130 Views
Kuna barabara za mitaani hapa Kinondoni, Mkwajuni, kuanzia maeneo ya Mitaa ya Kanisani hadi Garden Uwanjani, ambako baadhi ya watu walipewa kazi ya kufunua mitaro na kufanya usafi. Baada ya kazi...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Huanza kama utani kabisa na bila kutarajia ni kama ajali isiyo na kinga hukuipanga wala kutarajia Siku mbaya JF inaweza kukuta kwenye post! Unaweka uzi wako mzuri tu halafu anakuja mtu huko na...
55 Reactions
379 Replies
15K Views
Back
Top Bottom