Taasisi za Sekta ya Maji zimetakiwa kuwa na mifumo ya dharura itakayo saidia kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Nino kama ilivyo tabiriwa na Mamlaka ya Hali Hewa (TMA)...
Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ni moja ya Hifadhi tano zilizopo mikoa ya kanda ya Kaskazini ambazo ni Tarangire ,Manyara,Arusha na Kilimanjaro .
Hifadhi hii ya mkomazi inaunganisha mikoa ya...
Mzazi Daniel Kapangala amemzawadia mwanae sungura wawili ambao ni jike na dume katika mahafali ya kuhitimu Kidato cha Nne yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Tembela iliyopo Kata ya Itewe...
Wasalaam,
Wakuu, kuna jambo ambalo naamini tunapaswa kulijadili kwa uzito, hasa sisi wadau wa sekta ya utalii.
Tanzania tumebarikiwa kuwa na vivutio vya kiwango cha dunia kuanzia Serengeti...
THIS POEM IS DEDICATED TO ALL TEACHERS IN THE WORLD!!!
I May Not Have Wealth
But I Have Knowledge to Share
I May Not Have Power
But I Have Minds to Inspire
I May Not Have Fame
But I Have Hearts...
Bandari ya Dar es Salaam imeorodheshwa nafasi ya 255 duniani katika Container Port Performance Index (CPPI) 2025, ikiwa mbele ya Mombasa (396), Durban (398) na Cape Town (400). Tathmini ya Benki...
Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani IPU, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa eneo la Malengo ya Maendeleo Endelevu Tanzania imepiga hatua kwa kuangalia mafanikio yaliyopatikana...
Mariam Vincent Mahimbo, mkazi wa Buza, Chama Yombo, Temeke amekuwa akimtafuta mume wake, Ally Nanjasye kwa zaidi ya miezi mitatu tangu alipoondoka nyumbani Mei 12, 2026, baada ya kupigiwa simu na...
Huwa mnashangaza sana nyie mnaoutoa huu ushauri.
Mngekua na ujuzi wa fedha kama mnavyojinasibu msingekua na hali mbaya kama hizo mlizonazo.
Kwahiyo serikali, mabenki na baadhi ya matajiri ni...
Kuna faida kubwa sana hasa zama hizi kutokea kwenye vikao vya wanaume
Mwamba huyo alikuwa hatokei kwenye vikao kila akiitwa hafiki ona sasa kimemlamba 😂 😂 😂
WAKUU, KUNA JAMBO MOJA WATU WENGI HAWATAKI KULIKUBALI...
Mara nyingi tunasema:
"Nikishapata pesa nitabadilika."
"Nikishapata kazi nitakuwa sawa."
"Nikifanikiwa nitakuwa na amani."
"Nikiondoka...
Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania IPU Dkt Damas Ndumbaro ameeleza kuwa Mkutano huo unatoa nafasi ya kueleza maendeleo ya kikatiba, mfumo wa vyama vingi, utawala wa sheria na namna taasisi za nchi...
■Ni ya Tanzania kuwa kitovu cha nishati barani Afrika
■Fedha kuunganisha umeme kwenda Malawi zapatikana
■Ni baada ya Kenya, Rwanda, Burundi, Zambia, Uganda
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare (kulia), akizungumza na wateja wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja katika Duka la Vodacom jijini Dar es...
KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU
MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA
MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA
TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO...
Baada ya kuona jinsi Uislamu ulivyobeba mambo mengi kutoka dini ya wasabai , Leo tutaangalia Tena jinsi Uislamu ulivyobeba mambo mengi zaidi kutoka vitabu vya apokrifa vya wayahudi na wakristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.