Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila nikijaribu kuload next page kwenye uzi napata hii message " Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" Ni mimi tu au waTanzania wote?
0 Reactions
5 Replies
54 Views
TABORA: Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Tabora, Bw. Tumaini Gwakisa, akiambatana na wataalamu wa ardhi, akiwemo Msajili Msaidizi wa Hati Mkoa wa Tabora Na.Samweli Ibrahimu na Msajili Msaidizi...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Hamis Ulega, ameahidi kushirikiana kwa karibu na viongozi pamoja na watumishi ili kuhakikisha majukumu ya Wizara yanatekelezwa kwa ufanisi na hatimaye kufikia...
1 Reactions
0 Replies
64 Views
Nimejijenga kikamilifu kutoka kwenye mikono ya busara za mababu wa kale haikua rahisi maana ni masingi wa maisha Na nimekua nikishudia maendeleo tofali kwa tofali.... mimi sio wa jana na...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Anonymous
Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
https://x.com/_zack255/status/2105896127283200170
2 Reactions
3 Replies
63 Views
Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani. Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya. Kila mtu atafikiwa si mlisema...
5 Reactions
14 Replies
315 Views
Leo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Duniani,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki. Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi...
14 Reactions
56 Replies
616 Views
Chivayo alinunua ndege hio ya gharama kubwa, kumsaidia kuepuka traffic katika jiji la Harare na pia kumsaidia kufika kwenye vikao muhimu katika masuala yake ya kibiashara. Kwa mujibu wa maelezo...
20 Reactions
48 Replies
940 Views
wakuu kwema, ushawai kuanzisha kitu kikubwa ukawa wewe ndio utaki wateja ?
1 Reactions
11 Replies
248 Views
Katika historia ya dini na imani, kumekuwa na madai mengi kuhusu uwepo na kazi ya Roho Mtakatifu. Watu wengi hutumia jina hili kama chombo cha kuhalalisha matendo yao au kuwadanganya wengine...
7 Reactions
34 Replies
462 Views
Mapooza ni nini na yanaepukwa vipi Mapooza ni vitu au mambo yo yote yasiyoweza kuzalisha chochote, au kufikia kilele chake cha kutoa matunda kamili. Neno mapooza limetokana na neno kupooza. Kwa...
2 Reactions
3 Replies
89 Views
Ni kinachojengwa Tanga kwa Sh tril 56 kusafisha mafuta. Kampuni ya Mshauri Mwelekezi yakabidhiwa eneo la ujenzi. Ni la kupokea, kuhifadhi, kusafirisha mafuta yaliyosafishwa.
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye...
1 Reactions
7 Replies
81 Views
. Saudi Arabia imekataa ombi la Israel la kutuma ndege za kijeshi (ndege za usafirishaji za C-130J) ili kuwachukua abiria baada ya ndege ya Flydubai kutua kwa dharura mjini Tabuk. Nchi hizi...
2 Reactions
8 Replies
288 Views
Kiongozi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, anarudia makosa ya viongozi wa zamani wa nchi hiyo na Afrika kwa jumla, ambao raia waliamini ni wazalendo. Badala ya kujenga mifumo na taasisi...
0 Reactions
5 Replies
124 Views
Ukisikia neno uchumi je kichwani kwako unaelewa kitu gani? Wapo ambao watasema kuwa ni masuala ya fedha tu, wapo wataozungumza kuhusu uwepo wa shughuli ambazo zinahusisha mzunguko wa fedha katika...
9 Reactions
23 Replies
7K Views
https://www.instagram.com/reel/DdmI0Qxj1u4/?stkn=bm9ncGdxNDd2NW9u
0 Reactions
8 Replies
139 Views
Back
Top Bottom