Acheni kupakazia watu umaskini wenu

Acheni kupakazia watu umaskini wenu

Nimeona watu wananipakazia ujinga wa kuomba omba hela jukwaani,

Nilisha sema kuwa nitaendelea kuwa mwiba Mchungu kwa wadada omba omba na mapunga ya humu.

Pakazieni mpaka mchoke, ila mwiba uko pale pale
nadhani ni vizuri sana,
ikiwa huna kaa kimya tu na itapendeza,

laa ukiwa nacho,
toa kwa ukarimu sehemu ndogo tu kadiri ya wema wako na Mungu atakubariki sana.

usingoje shukrani.🐒
 
Nimeona watu wananipakazia ujinga wa kuomba omba hela jukwaani,

Nilisha sema kuwa nitaendelea kuwa mwiba Mchungu kwa wadada omba omba na mapunga ya humu.

Pakazieni mpaka mchoke, ila mwiba uko pale pale
Humu kuna tabia fulani ya watu kukufuata PM wanaomba ela.
 
Back
Top Bottom