Barabara ya lami Lusahunga-Rusumo Border yafikia 69%

Barabara ya lami Lusahunga-Rusumo Border yafikia 69%

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,088
Reaction score
865
Kagera inashuhudia hatua kubwa za maendeleo! Barabara ya Lusuhunga–Rusumo imefikia 69%, ikifungua fursa za biashara, kurahisisha usafirishaji na kuimarisha uhusiano wa kikanda.

Ni utekelezaji unaoendelea wa miradi ya kimkakati katika Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

IMG-20261002-WA0016.jpg
HTm_lRMWMAA1lMz.jpg
HTm_ks7WwAA-HTm.jpg
HTm_jaoXYAAhL6x.jpg
 
Back
Top Bottom