Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,512
- 109,886
Anapokufa tajiri, kiongozi mkubwa au mtu maarufu sana watu wanapagawa na kukipamba sana kifo. Wanaongea misemo na maneno mengi mno kuonyesha utajiri, maisha mazuri na ukuu sio chochote.
Huu ni ujinga, kifo ni kifo tu na kila mtu atakufa katika umri wowote, ukiwa Africa au nchi ambazo hazikaendelea uwezekano wa kufa mapema zaidi katika umri mdogo ni mkubwa zaidi pia. Hata hivyo lazima tuendelee kuthamini moisha bora na matamu. Maisha mazuri yana maana kubwa sana kwa binadamu walio hai bila kujali wanakufa leo au kesho na wanaondoka na nini duniani.