Binadamu ni wakatili sana

Binadamu ni wakatili sana

Kwa jinsi wanavyosema walio iona, mie hata sitaki kutazama kwa kweli.
Mwishoni walitengenisha kichwa na viungo baadhi wakawa wanavibeba mbele ya Camera...😢😢
 
Mwishoni walitengenisha kichwa na viungo baadhi wakawa wanavibeba mbele ya Camera...😢😢
😢😢😭😭
Mmewezaje kutazama hadi mwisho? Yaan najikuta naogopa sana.
 
Back
Top Bottom