GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,600
- 127,967
Fahamu mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya wananchi wasiojua kusoma wala kuandika nchini Tanzania, kulingana na ripoti za takwimu za kitaifa.
Tabora — 32%
Katavi — 29.6%
Rukwa — 25.9%
Simiyu — 25%
Dodoma — 23.7%
Kigoma — 23.3%
Geita — 23%
Shinyanga — 22.7%
Lindi — 22.4%
Mtwara — 22%
Chanzo Taarifa: JamiiForums Habari na Matukio.
Na nimegundua pia hata 99.9999% ya HATERS wangu wengi hapa JamiiForums wanatokea hii Mikoa Kumi tajwa hapa.
Chanzo Taarifa: JamiiForums Habari na Matukio.
Na nimegundua pia hata 99.9999% ya HATERS wangu wengi hapa JamiiForums wanatokea hii Mikoa Kumi tajwa hapa.