Jamani wakubwa Heshima zenu!
Kuna kitu mimi sijakipatia jibu maana sielewi kuna umakusudi au watanzani wenye tuu ndio magumashi kwenye suala la kupata Visa.
Majuzi nina jamaa yangu alienda...
Wakuu wote heshima mbele, toka siku nilipo-post dataz kwenye ishu ya Mwana-Halisi na acid, na kuahidi kuwa nitaleta zaidi nimekuwa siwezi tena kuingia JF kuna maneno mazito ya kutisha ati kutoka...
VITENDO vya kishirikina vimekigubika Kijiji cha Kasala, wilayani Kyela, baada ya mwanamke mmoja, Maria Asukenie (20) aliyekuwa mjamzito kujifungua ndama mweusi.
Ndama huyo alifariki dunia muda...
BARUA YA WAZI KWA MKUU WA WILAYA YA TARIME
Ndugu Mhariri,
Sisi ni kati ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mwera Vision iliyo katika wilaya ya Tarime.
Tunachukua nafasi hii kuipongeza serikali...
Hivi karibuni pametokea majina yanayochanganya kidogo. Nilizoea kumwona MTOTO WA MKULIMA sasa naona kuna MTOT WA MKULIMA, vile vile nilimzoea MzalendoHalisi naona sasa kuna ZalendoHalisi. Hivi...
Niko kwenye kijibaa kimoja mitaa ya uswahilini na scene ninayoishuhudia mbele yangu ni kama ndoto vile. Yupo dada mmoja amejipiga mkorogo wa kueleweka na kwa kumtazama taratibu umbo lake na sura-...
Doubts grow over Iranian boat threats
· Pentagon climbdown over 'you will explode' video
· Mystery remains over where voice came from
Ed Pilkington New York
Friday January 11...
Sioni kwanini waliamua kulifanya hili swala la Balalli kujiuzulu siri. Muungwana angesema nimepokea barua ya kujiuzulu toka kwa Gavana wa BOT Ballali, lakini nimeikataa barua hiyi mpaka hapo...
Heshima Mbele.Kuna Taarifa ambazo nimezipata kutoka kwa Afisa mmoja Mwandamizi wa Usalama,Kaniambia Ndugu yetu Daud Balali Amefariki Dunia.Nimejaribu kuwasiliana na Mzee Mwanakijiji kasema ataweka...
ndugu wahusika.
ninaomba tuangalie hii adhaa wanayopata wananchi wa wanaotumia vivuko kigamboni.
kigamboni ni kati ya maeneo ya yanayokua kwa kasi sana katika nyanja za kibiashara,kilimo,utalii...
Posted Date::1/5/2008
Serikali bado yaiota Real Madrid
Na Vicky Kimaro
Mwananchi
SERIKALI bado inaiota ziara ya vigogo wa Hispania, Real Madrid, ambao walialikwa mwaka jana kwa ajili ya...
Aided by video cameras mounted on buses, San Francisco has launched an initiative to punish drivers who illegally park in transit-only lanes.
The goal is to clear traffic lanes for Muni buses...
Ama kweli siri kali!
Posted Date::1/8/2008
Vipi Ripoti ya Ukaguzi BoT ikabidhiwe kwa Rais kinyemela?
Mwananchi
JUZI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG), Ludovick Utouh...
Nnalia sana na "The Obamas of Kenya still live as they have for decades, even though their most famous relative is in a hotly contested race to become the next president of the United States. "...
Ikiwa nchi zote zilizoendelea zikiwa ziko mbioni ( baadhi tayari) kuondoka kwenye analog transmissions kwenda digital, Tanzania wana mpango gani? Na nini athari zake kwetu sisi ambao ni addicts wa...
Mwanamke akifiwa mumewe ana haki zipi katika mali za mumewe (au mali walizochuma na mumewe)? Yeye huwa ni msimazi tu wa mirathi au ana haki ya mgao kama mali zitagawanywa?
Je, kama akiolewa tena...
Nimeshika Gazeti la Uhuru la leo, mbele yangu yapo pia magazeti mengine ya hapa nyumbani ikiwemo gazeti la serikali la habari leo. Ndani ya gazeti la CCM la uhuru kuna matangazo matano ya serikali...
Hii dhana ya kuwa kila kitu kifanyike dar bila kuangalia strategic location nadhani ni matatizo ya kimaamuzi. Serikali inampango wa kujenga chuo kipya na cha kisasa cha utalii Dar. Mimi kwa moani...
Wana jf nimepata fununu kutoka kwenye vyombo vyangu vya habari nimepata tetesi kuwa huenda mabadiliko ya cabinet yakawa jumatano ya wiki ianzayo kesho,kisha nikaendelea kudadisi nikaja kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.