Pata kunguru pata jero life goes on!

Pata kunguru pata jero life goes on!

Swahilian

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2009
Posts
593
Reaction score
70
Kwa mujibu wa kituo cha luninga ITV, Imetangazwa vita kubwa kwa ndege weusi, korofi na wasumbufu! 'kunguru' kutokana na tabia zao za ukibaka, udokozi misosi, wizi wa soap na hata nguo za ndani, pia kunyea watu ktk mapumziko vijiwen au maakuli kwa mama ntilie, hivyo kwa pamoja tuungane kutokomeza hii jamii na kizuri zaidi ni kwamba kila kunguru mmoja utapata sh.500,hali kadhalika dau litapanda ktokana na mbinu au mazngira ya ukamataji. TUSHIRIKI
 
Back
Top Bottom