Ccm,kinara wa umoja na mshikamo wa kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm,kinara wa umoja na mshikamo wa kitaifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shaycas, Oct 11, 2009.

 1. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Waungwana nadhani mwenye macho haambiwe tazama.
  Kwa muda mrefu CCM kimekuwa mstari wa mbele ktk kuhakikisha umoja na mshikamano wa Kitaifa.Kikiongozwa na KINARA WAO JK ,hakiogopi kumwaga damu kwa yeyote atakaye taka kuuvuruga UMOJA HUO.
  Je ni kwanini watishie kumwaga damu badala ya kudumisha umoja na mshikamano huo kwa njia ya kutoa haki kwa wote,huduma bora kwa wote,kutokushabikia dini fulani na zinazofanana nazo.Nasema hivi kwa sababu,kuelekea maadhimisho ya miaka kumi ya kifo cha Baba wa Taifa,kumekuwa na matembezi ya hiari kwa vijana lakini kwa mshangao wangu ni VIJANA WA CCM PEKEE na kama wapo wengine ni wale ambao hawana chama(hawana msimamo wa kisiasa).JE HIYO NI NJIA SAHIHI KUSEMA KWAMBA WAPO MSTARI WA MBELE KTK KUDUMISHA UMOJA NA MSHIKAMANO?
   
Loading...