RubenM
Senior Member
- Apr 15, 2009
- 131
- 10
😕 UNAWEZA KUSHANGAA,HIVI HII NI WILAYA GANI AMBAYO HAINA YALE MUHIMU KILA MWAKA? Mwaka huu kwa waliowengi kutoka mwaka jana matarajio yao ilikuwa mwaka huu ndo waone walau RAMI(BARABARA) Walau kutoka mbeya hata km10,lakini cha ajabu hata ujenzi wenyewe umesimamishwa bila hata kujua kwamba ni lini utaanza au ndio umesitishwa kabisa? kwa anayejua adha za usafiri wa wilaya ambayo ni kubwa kuliko wilaya zote za mkoa wa mbeya kwani inachukua ukubwa wa 46% ya mkoa wa mbeya,usafiri ni malori,mabasi(malori),gari ndogo aina ya landcruiser(inapakia kufikia abiria 16,na 18 ukijumlisha utingo na dereva). Maji safi na salama kwa wilaya hii ni kitendawili na umeme hata kabla ya mgao huu wa kitaifa hapa nguzo kukatika ni kawaida kubaki giza hata siku 2. HII NI KERO JAMANI.