Nashukuru sana JF na Ramthods

Nashukuru sana JF na Ramthods

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,281
Nachukua nafasi hii kumshukuru ramthods na jf kwani tatizo langu limetatuliwa....Wana jf kuna kipindui niliandika humu jamvini kuhusu clouds fm wanavyoniibia,watu wengi sana waliguswa kwa kuchangia ile maada na baadae huyu bwana ramthods alinipa contacts(sijui uhusiano wake na hawa watu) nilizifanyia kazi na baadae nikatumiwa ujumbe unoonesha mawasiliano yao ya kuondoa number yangu kwenye data base yao ya watu wa kutumiwa meseji.....
 
Mvumilivu hula mbivu... Ila mvundika mbivu hula mbovu
 
mbona hujaandika chochote ndugu?!!!

Your signature gives the best explantion to your situation...lakini si mwenyewe unaona? Ni nzuri kwamba ulikuwa patient, ukapewa contacts na huyo bwana mtajwa. Tunapokea shukrani zako kwa dhati.
 
Nachukua nafasi hii kumshukuru ramthods na jf kwani tatizo langu limetatuliwa....Wana jf kuna kipindui niliandika humu jamvini kuhusu clouds fm wanavyoniibia,watu wengi sana waliguswa kwa kuchangia ile maada na baadae huyu bwana ramthods alinipa contacts(sijui uhusiano wake na hawa watu) nilizifanyia kazi na baadae nikatumiwa ujumbe unoonesha mawasiliano yao ya kuondoa number yangu kwenye data base yao ya watu wa kutumiwa meseji.....

Kwa niaba ya ramthods, nashukuru kwa kushukuru kwako!
 
You are welcome bro!

na baadae huyu bwana ramthods alinipa contacts(sijui uhusiano wake na hawa watu)

I am a consultant for messaging platforms, as you can imagine it's not uncommon to know such people.

I am glad now you see there is a reason to be a JF member!
 
Back
Top Bottom