Leo ni siku ya mwisho kujiandikisha kupiga kura chaguzi ndogo-serikali za mitaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni siku ya mwisho kujiandikisha kupiga kura chaguzi ndogo-serikali za mitaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Teamo, Oct 10, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kama wewe ni mtanzania,na upo tanzania kwa sasa,na una elimu nzuri kabisa ya uraia basi leo ndio siku ya mwisho kabisa ya kuhitimisha zoezi hili

  Naamini kabisa mabadiliko ambayo kila mtanzania analilia yanaweza kuwa rahisi zaidi kama tutaanzia huku chini kabisa.

  Chonde chonde wanandugu,wakuu,waheshimiwa naomba tukajiandikishe tuachane na blah blah
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa sina rekodi ya kumchagua kiongozi yoyote (wote niliowapigia kura hawajawahi kushinda), wakati nyie mnajiandikisha / mnapiga kura mi ntakuwa nakunywa serengeti ya baridi.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Big-up master!

  Ni kweli kabisa, mimi mwenyewe ndo napitiapitia threads zenu kidogo hapa, then saa 8 ndo natoka nikajiandikishe.

  Good Alert!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahah!shemasi naomba uni pm unipe namba zako nitakutafuta ''kwa ajili ya hiyo zoezi'',

  ila ukajiandikishe shemasi
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  safi!
  tuko pamoja

  elimu ya uraia naona imekaa hapo

  tunahitaji watanzania kama wewe walau kwa asilimia 40 tu ya jumla yetu
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180


  Basi JF hapakufai Chrispin!

  Kama Mzalendo kama wewe unakata tamaa sasa hivi tutafika kweli?

  Au ndo na wewe unataka kwenda Botswana kubeba maboxi?

  Futa kauli hiyo mzee, sio ya calibre yako...au unataka kuprove kwamba wewe ndo full-wa-mambo-yetu-yale....Geoff mwenyewe atakucheka, japo ni Kigogo wa hizo ishu!... lol!
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Was just kidding katekista, nilishajiandikisha siku nyiingi tayari kuitoa CCM madarakani. hahahaha! Leo mchungaji amepitiwa na mwanakondoo.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Binamu naumia sana napopiga kura halafu nayempigia anshindwa kwenye ushindi wa kupanga mezani. Thats why naprefer zaidi chupa ya bia kuliko karatasi ya kura.
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahah!
  kwenye hiyo red part umemgusa vilivyo shemasi.

  hapo pengine naona umetumia lugha ya kificho zaidi
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Ameamua kuzisemea fani za wana wa Mungu kwa woga. Ameogopa hasira za maombi zisije zikamwangukia. Rudi nyuma shetani.
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ngoja mchungaji aamke!atajua yeye namna ya kuongea nae
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Anayeteseka na nguvu za maombi ni JK bana! Si unayajua yaliyompata Mwanza?

  Mtu kama mimi hadi muda huu nimefunga kwa maombi!

  Na hapo kwenye kijani, kumbuka katika Biblia aliyeambiwa hivyo ni Petro, lakini mwisho wa siku ndiye aliyekabidhiwa ufunguo wa Kanisa!
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Inaelekea malisho ya kondoo wa jana yalipatikana kwa shida sana. Vinginevyo alikuwa na mwanakondoo mwenye mapepo, alyehitaji maombi ya muda mrefu
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi naamini ALIKOSA KABISA MALISHO
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Katekista bado hajakupa nafasi kanisani. Anza kuapply mapema nafasi zimebaki chache. Hivi JK alianguka kwa nguvu za maombi au uchovu? Manake wanasema alizidiwa na kazi nyingi bila mapumziko, na katika safari hizo hakuambatana na my waifu wake. Nasikia yule ni mtaalam wa yale mambo, kamwanzishia mama WAMA ili awe bize na vitripu vya vijijini then mzee mzima anakuwa huru.
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Lol! Hapo katekista umesema jambo. Mchungaji akikosa malisho, katekista atayapatia wapi?
   
 17. 1

  1954 JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2009
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 4,299
  Likes Received: 2,187
  Trophy Points: 280
  Mimi sijiandikishi kwani nimechoka na wanasiasa. Uchaguzi wa serikali za mitaa hautanisaidia mimi. Nyie nendeni mkapige kura, mimi siendi. Najua hata nisipopiga kura hakuna kitakachoharibika.
   
Loading...