Hivi wakatoliki ndio Think Tank ya wakristo wote Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wakatoliki ndio Think Tank ya wakristo wote Tz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HM Hafif, Oct 9, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapa ningependa kujuwa kama Wakatoliki hapa Tanzania ndio Think Tank ya madhehebu yote ya wakristo hapa Tanzania.

  Kilichonifanya nijiulize suala hili ni hili la Waraka wa wakatoliki. Kwa kweli vibaraka wote Kanisa hili mara baada ya kuutoa walimuuliza waziri mkuu, na kuupenyeza Bungeni ujadiliwe, walimuuliza shehe mkuu wa Bakwata na watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini.

  Tumeona kila aliyediriki kuupinga alitukanwa na kukashifiwa sana mf Mzee Kingunge, Kakobe na wengine.

  Lakini waandishi hao hao sijaona hata sehemu moja wakimuhoji Askofu mkuu wa KKKT askofu Malasusa au Askofu mkuu wa Anglicana Dr Mokiwa.

  Kwani tunajuwa wazi kuwa KKKT ni wengi sana kulinganisha na wakatoliki hapa Tanzania. Na ukisoma wengi wananasibisha kuwa waraka huo ni wa wakristo na sio wakatoliki.

  Suala langu kuwa je wakatoliki ndio think tank ya wakristo wote hapa Tanzania?
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  You must have some data to back up your statement, otherwise it would be difficult to agree with you. Hiyo sensa ilifanyika wapi? Na nionavyo mimi KKKT hawakukurupuka kuupinga tu ati kwasababu umeandikwa na kanisa katoliki. wangeupinga kama ungekuwa unahimiza kujenga maslahi ya kikatoliki. Ukweli ni kuwa nchi hii ni yetu sote ikiwemo wakatoliki.Kama mambo yanaenda mrama wakae kimya tu kama hawaoni ili imnufaishe nani?
  Naona kinachokusumbua mkuu ni kwanini wakatoliki ndo walioanza kutoa waraka na sio wengine, maana kuupinga tu bila kutoa hoja za kweli sio sahihi. Ule waraka umetokana na mapungufu yanayoletwa na wanasiasa. Kama kuna lawama wanastahili wao maana rushwa imekithiri, huduma za jamii zinapungua mpaka elimu inakuwa ina mashaka. Halafu unasikia mtu kaiba bilions!!
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hao unaoita ''Wakristo'' they don't see thinks and enterprete them the way ''you'' do!

  Hawapingana km hakuna sababu ya kufanya hivyo, hawalumbani kama hakuna haja ya malumbano, wanakubaliana kwa hoja zao na wakipingana wanapingana kwa hoja pia! Upande mmoja ukifanya kitu kizuri hukiunga mkono, japokuwa imani zao zinatofautiana!

  Sasa wewe unatakaje? hao wakristo wengine wapinge tu huo waraka hata kwa unafiki tu wakati wanajua unakitu cha maana ndani yake, tena kinachioweza kulikomboa taifa hili kutoka mikono ya mafisadi?
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  MODS thread za upupu naona mnaziacha tu na mnajua fika hazina tija..Kwanini ? why ?
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  issue ni ukatoliki na ukrito au ni hoja. issue ni nani kaiba hela zetu au hela imeibiwa? issue ni nini haswa? kama huwezi kutambua hili, basi hoja yako ni upupu mtupu.
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wewe nawe ndio maana umetukanwa kwenye post yako ya nyerere kutangazwa kuwa saint..do your homework kabla hujapost vitu hapa
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  SURE!unabisha?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  mods...mods mods.....futa hizi mambo za HM.HAFIFni hopeless huyu mtu!
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  completely wrong
   
 10. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  .

  naona na mimi nikuulize NI WAPI Askofu Malasusa alihojiwa kuhusu Waraka huu wa Wakatoliki na kuukubali. Ni Wapi Dr Makowa wa Anglican alihojiwa kuhusu waraka huu na akaukubali? Lete ushahidi wako.

  Tunajuwa fika waandishi walimuhoji Shehe wa Bakwata, Mh Kingunge, Waziri Mkuu na hata Raisi na wengine wengi na walituhabarisha kupitia vyombo vya habari. Vipi kuhusu Malasusa na Dr Mokiwa au hao waliwaona kama Kilaini hakuna haja kupata rai zao.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Aisee hamna haja ya kuwasubiri MODS, sisi wanaJF wenyewe tunaweza kuwaadabisha watu kama hawa kwa kuwaweka kwenye IGNORE LIST.

  Na-encourage tuitumie hii tool kwa watu wote waliotumwa kusambaza upupu humu jamvini. Majina yao yanajulikana na malengo yao yanajulikana, na tarehe zao za kujiunga zinajionesha kuwa ni za mwaka huu 2009 (kuelekea uchaguzi-2010)

  Tusaidiane kuirudisha JF kwenye mstari ulionyooka.
   
 12. M

  Msindima JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kigogo sasa ndo nimeelewa kwa nini Abdulhalim alikuwa mkali kule kumbe jamaa ana vi-agenda vyake vya siri,na leo kwake ni mbaya maana kila post anayoileta inapondwa haswa-pole zake.
   
 13. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  your Completely lost. Ukisoma huu waraka wengi wanasema ni waraka wa wakristu na sio wakatoliki pekee yao.

  hebu soma post kuhusu waraka wa wakatoliki na utaona watu wengi wanaunasibisha na nini?
   
 14. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  heshima mbele mkuuu!
   
 15. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Najua unataka thread za kumsifia Dau ili akupe wewe na wadogo zako ajira pale NSSF!
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kumbe wenye mwezi mchanga mpo wengi. Endeleeni.
   
 17. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu,

  No hiyo tool itatuletea madhara baadaye....kumbuka, theories za uwongo na uzushi zikiachwa zitangazwe na kupigiwa debe kwa muda mrefu bila kukanushwa huwa zinageuka kuwa living ''facts'' zilizopikwa....wanaokuja baadaye wanashindwa kujua ukweli ni upi na uwongo ni upi!

  Dawa ni kuwapa ''miarobaini'' as they come through mkuu....hakuna kuwaachia hawa!
   
 18. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika moja ya hotuba za hayati Nyerere aliwahi kusema, kuwa mtu mwenye mawazo ya udini au ukabila ni MPUMBAVU.

  Watu wa aina hiyo tuwadharau na yale wayasemayo. Hakuna haja ya kupoteza muda kumwelimisha mtu mpumbavu.
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kiongozi,


  Sina uhakika na efficiency ya hizi solutions 2. Labda nieleze ninavyoona.

  Unajua watu tunapoketi kujibizana na akina Barubaru na kundi lake, na hoja zao, ni wakati huohuo tunapoteza makali ya JF ya kukata ishu. Kukata ishu kwetu ndiko kulikoi-define JF na mpaka serikalini inafahamika hivyo. Tukiendelea na hizi petty discussions za hawa ndugu ni jambo zuri, lakini ndivyo hivyohivyo tuna-divert efforts from main issues. Issues ambazo zinatujenga na zipo dynamic kuelekea mabadiliko.
   
 20. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Mkuu kwa kuwa wewe ndiye unayetaka mahojiano na hao maaskofu nafikiri ungefanya hivyo. Kwani waandishi wa habari hawakuwa wajinga kwenda kwa hao waliowaohoji ambao wengi wao si kuwa walifuatwa na waandishi bali wao ndiyo waliita press conference. So kama hawa hawajaita press conference kwanini wasumbuliwe?

  HIVYO ILI URIDHIKE NI VIZURI UKAENDA KUWAONGEA NAO MWENYEWE NA UJE UTUJUZE YALIYOJIRI KWENYE HIYO INTERVIEW. BADALA YA KUBISHANA VITU VISIVYO NA MSINGI.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...