Tumeweka mbele sana udini - hatari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumeweka mbele sana udini - hatari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIMING, Oct 1, 2009.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nafahamu kwamba kuingia kwenye forum ya udini ni hiyari, na sina matatizo na hilo;

  Kero yangu ni jinsi tulivyovamia mambo ya udini na kusahau maendeleo na mahitaji yetu kama watanzania, ukifungua latest threads utaona zaidi ya theluthi ni kuhusu udini na kashfa zake

  Nadhani we need to draw a line ili tujenge tz ya ubora zaidi, kwani upekuzi unaofanywa na wanazuoni humu ndani [dini zote mbili] ni mkubwa na if similar knowledge and focus was given elsewhere, tungekuwa mbali sana hasa katika vita dhidi ya wabaya wa nchi
   
  Last edited: Oct 1, 2009
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ziache, sio lazima uchangie.

  Mimi sijawahi kukuona kule kwenye business and ecconimic forum,
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nashkuru kwa ushauri, lakini hata kule nipo; kapekenyue tena!!!
   
 4. M

  Mpenzi wa Islam JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 2,295
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu MTM shukran sana kwa kutuelezea yenye kukera.

  Napenda kusema Ni kweli kabisa umesema ndugu MTM naunga mkono nawe.

  Bila shaka hii ni kero kubwa yenye kuleta maangamizi kubwa badala ya ujenzi.

  Yafuatayo ni mchango wangu kwa ufupi kuhusu Kero yako.


  Kwa kweli Udini haswa ndio ni kama very bad decayed tooth,if not removed on time then it will poison the whole body.

  Hivyo hivyo Udini nayo inaweza kuhatarisha AMANI,HAKI NA UMOJA YA TZ.

  MWISHO ITAFANYA NCHI YETU YA TZ KISIWA CHA AMANI KAMA YA RWANDA,BURUNDI NA NIGERIA.

  KWAHIYO NI HERI KUJADILIANA TOFAUTI ZETU BILA CHUKI,UPENDELEO NA UBAGUZI NA KUWAPA FREEDOM OF CHOICE WASOMAJI KULIKO KUSHABIKIANA NA KUSHAWISHANA KWA NJIA YA LUGHA CHAFU NA DHARAU KWA IMANI ZA WENGINE.

  KWA NJIA HIYO TUTAWEZA KUPIGA VITA UDINI KWA NGUVU NA AKILI YOTE AU SIVYO?

  NASUBIRI KUWEKWA SAWA KAMA NIMEKOSEA KATIKA UCHANGIAJI WANGU

  WAKO KATIKA UJENZI WA TAIFA
  MPENZI WA ISLAM
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 83,055
  Trophy Points: 280
  Mpenzi wa Islam unanifurahisha sana kwa maneno yako yaliyojaa busara na hekima ya hali ya juu. Uendelee hivyo hivyo Mkuu. Penye majaliwa iko siku tutaonana. Michango yako hapa huwa inanivutia sana kiasi cha kutamani mno kukutana nawe uso kwa uso. Tuombe uhai Mkuu.
   
 6. M

  Mpenzi wa Islam JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 2,295
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu mheshimiwa Bubu Ataka Kusema shukran wa Jazak Allaahu khayran katheeran kwa nasaha zako na kunipa moyo.
  Nitaweka akilini daima na kuheshimu nasaha zako kwa matendo hadi mwisho wa pumzi yangu.

  Nami huwa na shauku kuonana na watu wenye heshima kama wewe na wale wote kama wewe.

  Insha Allah iko siku tutaonana ana kwa ana.

  Mwenyezi Mungu atuzidshie uhai,Atakabalie na kutubariki sote kwa dua zako na zaidi ya hapo atimize ndoto yako tupate bahati ya kuonana ana kwa ana.Insha Allah.
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Oct 2, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Rais mwenyewe, ameamua kwa makusudi kuligawa taifa kwa misingi ya kidini, kikabila, kikanda, kimaslahi (wasio nacha na walio nacho), nk. Yanayotokea humu JF ni by-product ya harakati zake, mambo haya hayajaja kwa bahati mbaya, tusidanganyane! Asifikiri kwamba ataipendelea dini moja halafu aka-go away with it, simply like that, no way! Religious agenda from party's (CCM) election manifesto, 2005, is what triggered all this and mind it WON'T end up in a smooth way! Let him learn from Nigeria, Somalia and elsewhere!
   
 8. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Take it from me!! you are special and one of a kind, busara zako ziko wazi... na huu ndio uislamu tunaotakiwa kuufahamu na kuufuata... ni dini ya amani, brotherhood na upendo!!! nina bahati ya kwenda madrasa kwa miaka kadhaa na mafundisho ya dini kutokana na wazazi wangu kuwa dini tofauti na hawakutuzuia chochote
   
 10. M

  Mpenzi wa Islam JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 2,295
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shukran wa Jazak Allahu Khayran my respected and humble brother for your kind words.Indeed Islam is religion of Peace,Brotherhood and Love that what I m trying to prove to the World by all means and efforts.I m happy to hear you got Luck of going to Madrasa for several years.Pia nashukuru sana hii Bahati inaku nufaisha maishani mwako.Al-Hamdulillah

  Ni dua yangu Mwenye Mungu aifanye mafundisho ya madrasa uliyo bahatika kupata Ikunufaishe siku zote maishani mwako.A'meen.
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,667
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mnampa sifa za bure huyo ni mdini namba moja.
  Watu wengine ni wa ajabu kweli kweli, huku anajifanya hapendi mambo ya dini lakini kumbe yeye ndiye mkeleketwa namba moja wa dini huyu mpenzi wa uislamu.
  Anyaway mie sioni ajabu maana watu wa dini yake siku zote wana sura mbili...............
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ubarikiwe sana kwa kujua waislamu walivyo na kwa kuwa na undani zaidi wa mpenzi wa islam... mimi sifa nilizotoa ni kutokana na niliyosoma

  heri wewe ujuaye zaidi yangu!!, i will stick to my credits towards mpenzi wa islam
   
 13. M

  Mpenzi wa Islam JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2009
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 2,295
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana sana kwa maneno yako machungu na samahani sana sana kwa kuchelewesha kutoa maoni yangu kuhusu machungu yako hii.

  KUHUSU MANENO HAYO YAKO NAPENDA KUWEKA WAZI NA KUKUFAHAMISHENI KWAMBA:

  HAO NDUGU ZAKO WAKINIPA AU WASINIPE KWA MANENO MENGINE WAKINIMWAGIA AU WASINI-
  MWAGIE SIFA MPENZI WA ISLAM MSIMAMO WAKE SIKU ZOTE ITAKUWA MMOJA NA KAMWE HAITA BADILIKA HADI MWISHO WA UHAI WAKE

  NA MSIMAMO WAKE NI KWAMBA

  MPENZI WA UISLAM MAISHA YAKE YOTE AMEDHAMIRIA NA KUPENDELEA WANADAMU WENZAKE SIKU ZOTE YALE YALE ANAYO PENDELEA NAFSI YAKE MWENYEWE.NA ANACHUKIA YALE YALE ANAYOCHUKIA KWA AJILI YA NAFISI YAKE MWENYEWE.

  KWA UFUPI HUU UMENIELEWA VIZURI HAPO AU BADO UNATAKA UFAFANUZI ZAIDI.

  MWISHO NAPENDA KUWEKA AKILINI MWAKO KWAMBA

  UISLAMU WALA MPENZI WA ISLAM HAWAJUI WALA HAWAPENDELEI UDINI KAMWE HATA CHEMBE.
  AMINI USIAMINI NI UKWELI USIOWEZWA KUPINGWA.

  KWAHIYO KUTU HESABU KWA KUTUWEKA KATIKA MKOBA UDINI HAYO NI MAWAZO ZAKO BINAFSI INATOKANA NA CHUKI ZAKO TU SIO
  UCHUKIA UFISADI WAKO.

  WAKO KATIKA UTU
  MPENZI WA ISLAM.
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I am glad to acknowledge that; ile traffic imepungua kidogo... meaning kwamba somo limepokelewa japo kidogo!
   
Loading...