Serikali ya Kikwete Yakemewa!!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=G0dqLxJ1TzI"]http://www.youtube.com/watch?v=G0dqLxJ1TzI[/ame]
 
Aje kwenye campaign, atuambie atafanya nini? aondoe umaskini let him try his dream.
 
He is talking sensibles this guy, whatsoever!
He is worth listening to!
 
He is talking sensibles this guy, whatsoever!
He is worth listening to!
Nime- admire dreams zake na speech zake labda anaweza endesha vitu let him try..nitakuwa nahudhuria sana campaign zake..nampa BIG UP
 
Nime- admire dreams zake na speech zake labda anaweza endesha vitu let him try..nitakuwa nahudhuria sana campaign zake..nampa BIG UP

wote si wanatowa ahadi kibaaaaaao kwenye kampeni? baada ya uchaguzi, mnabaki kuwadai waliyoyaahidi! siasa bwana.... teh teh teh
 
wote si wanatowa ahadi kibaaaaaao kwenye kampeni? baada ya uchaguzi, mnabaki kuwadai waliyoyaahidi! siasa bwana.... teh teh teh
Do we have any option? tufanyeje sasa hiyo ndiyo option kuwasikiliza wanasiasa na ahadi zao then ku-wa measure baada ya kuwachagua...ndio ustaarabu tulio nao kwasasa labda aje nabii tumsikilize...kwa kuwa ni wanadamu we have to listen, measure and choose among them...after five year we do the same circles and life goes on! umri unaenda.
 
do we have any option? Tufanyeje sasa hiyo ndiyo option kuwasikiliza wanasiasa na ahadi zao then ku-wa measure baada ya kuwachagua...ndio ustaarabu tulio nao kwasasa labda aje nabii tumsikilize...kwa kuwa ni wanadamu we have to listen, measure and choose among them...after five year we do the same circles and life goes on! Umri unaenda.

option ipo nayo ni kuhakikisha uhuru wa kuchagua viongozi unaongezwa mfano wagombea binafsi
 
option ipo nayo ni kuhakikisha uhuru wa kuchagua viongozi unaongezwa mfano wagombea binafsi
Baada ya kuongezwa...kitakachofuata ni...kuwasikiliza, kwa pima na kuwacahgua wakimo wagombea binafsi (si ndio hao hao wanasiasa) baada ya miaka mitano tunafanye the same...life goes on...
 
Back
Top Bottom