Msaada jamani hii IP address <38.104.59.122>

Msaada jamani hii IP address <38.104.59.122>

Magezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2008
Posts
3,359
Reaction score
704
WanaJF ip address hiyo hapo juu kila mara inajaribu kuingia kwemye computer yangu naombeni msaada wa nini cha kufanya.
 
Max.... hebu okoa jahazi hiyo IP address kila mara inajaribu ku-access pc yangu na nikijaribu ku-i-browse webpage yake imeandika: usdw101

nisaidie tafadhali
 
Back
Top Bottom