Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ndugu zangu polen na pilika pilka za kufurahia uapishwaji wa RAIS mteule wa DUNIA B.H.OBAMA, kwa masikitiko makubwa hivi majuzi kuna majambazi yalivamia gari na kutaka kupora pale MANZESE,nadhan...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna tetesi kwamba yale maduka maarufu ya shoprite ymefungwa na waajiriwa wote kupoteza ajira pamoja na malipo mengine muhimu
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna bwana mmoja miraba minne pandikizi la mtu mwenye lafundi ya kaskazini anazunguka katika mabaa usiku na kutafuta watu wa kuwatapeli. Ukiwa na marafiki unapata kinywaji huyu bwana anakufuata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tumekuwa na awamu nne sasa za uongozi:Mchonga,Mwinyi,Mkapa na Kikwete.Mungu aibariki sana awamu ya Mchonga.Ilikuwa awamu yenye authority,Mchonga akisema kitu kisifanyike kweli hakifanyiki.Huo ndio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
St. Augustine once said that “Fasting cleanses the soul and Raises the mind”…If he were alive today he might be surprised to see the fast detached from its spiritual toots and transformed into...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna 'thread' moja ya Malila yenye kichwa cha habari 'Kwa nini tunaendekeza sana imani za kishirikina'. Kichwa hiki cha habari ni kizuri,na kina uzito na mantiki ya aina yake.Cha ajabu ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale tunaofahamu Historia ya vyombo vya habari Tanzania kwa hakika mtu hawezi kubisha kuwa IPPMedia ni moja kati ya vyombo vya habari vya mwanzo na vilivyokuwa makini Tanzania kwa kuanzisha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakati kampuni ya Tigo ilivyobadilishwa Jina toka mobilel Nilikuwa na shauku moja nayo ni kuja kuona kwamba sasa kampuni hiyo inakuwa zaidi kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MCHAKATO wa kuwarejesha chuoni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, sehemu ya Mlimani, umeanza rasmi chini ya ulinzi mkali huku wanafunzi watano wakishikiliwa na Polisi, wakidaiwa kutaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina omba kueleweshwa hivi ni sawa redio kutumia takribani saa nzima inachambua magazeti mawili tu tena ya jioni ? Hapo biashara ipo kweli kama hata barua za wasomaji inasomwa.Kuna sheria yeyote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Date::1/14/2009 Daruso yafutwa, sheria mpya UDSM zatangazwa Latifa Karugila na Hussein Kauli CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeweka masharti magumu ya kudhibiti usajili wa wanafunzi...
0 Reactions
100 Replies
18K Views
A woman who had two children by her own father has spoken of her ordeal. The woman, known only as Miss D, fell pregnant with a girl after being raped by her father when she was 16. She also...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni nilipatwa na mkasa wa kupotelewa na kilongalonga changu!!kutokana na kwamba ilikua ni usiku nikashindwa kufanya sim replacement!!nikapiga simu customer care ili waiblock sim card...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
FAUDHIA WAZIRI [30] mkazi wa Magomeni Mapipa amefikishwa Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni kwa kosa la kumwambia mwenzake ameathirika na gonjwa la ukimwi. Kauli hiyo ya kashfa aliitoa Desemba 23...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
THE FEDERAL RESERVE FRAUD The first misconception that most people have is that the Federal Reserve Bank is a branch of the US government. IT IS NOT. THE FEDERAL RESERVE BANK IS A...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
30 Most Important Events in Financial and Economic History 1. The invention of money by the Ancients and its replacement of the barter system 2. The Industrial Revolution and the Collapse of...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama kuna Mgodi hapa ulimwenguni unaochekesha basi North Mara (BARRICK) unachekesha sana, hivi nini maana halisi ya neno expart Je wizara ya kazi na maendeleo ya vijana inasemaje kuhusu ratio ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hutakiwi kusoma soma tu ilimradi una mavyeti ambayo hayalipi lazima uangalie kwenye soko la ajira kazi gani ina ngawira nyingi.. 1.PMP- Project Management Professional (PMP) - $102,000 average...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilipita katika anga za Ethiopia kuelekea Instanbul nyakati za usiku kwa kweli sikuamini nilivyoiona ni jinsi gani Nchi ya Ethiopia ilikuwa inang'ara kwa mataa ambayo unaweza kusema hawa jamaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilifanikiwa kuingilia mtandao mmoja na kupata habari hii kuhusiana na wezi wa laptop pamoja na simu za mkononi.Soma habari na kachangia. Mtandao huu ni mkubwa sana kuna baadhi ya watu ambao ni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…