Sikupenda jinsi kichwa hiki cha habari kilivyobadilishwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikupenda jinsi kichwa hiki cha habari kilivyobadilishwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tikerra, Jan 21, 2009.

 1. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna 'thread' moja ya Malila yenye kichwa cha habari 'Kwa nini tunaendekeza sana imani za kishirikina'. Kichwa hiki cha habari ni kizuri,na kina uzito na mantiki ya aina yake.Cha ajabu ni kwamba, kichwa hicho cha habari kimebadilishwa na kuwa 'Kali ya Comedy'.Kwa mtizamo wangu mimi kichwa hiki cha habari kime-waterdown uzito wa thread.Hata hivyo si rahisi kwa sasa kuchangia thread hiyo ikiwa na vichwa vya habari viwili,nje 'Kwa nini tunaendekeza imani za kishirikina' na ndani 'Kali ya comedy'. Ili mchango uweze ku-reflect maana halisi ya thread hiyo, naomba kichwa cha habari cha juu,yaani 'Kwa nini tunaendekeza ushirikina' kiwe ndicho kichwa cha habari ndani na nje!Hiki ndicho kichwa kinacho-reflect maana halisi ya thread.Kama ni mwandishi au administration iliyofanya mabadiliko hayo napenda kusema si sahihi.Maudhui ya 'thread' yamepotoshwa isivyo halali na kichwa cha habari 'Kali ya comedy.'
   
Loading...