Wizi wa laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa laptop

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Jan 15, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nilifanikiwa kuingilia mtandao mmoja na kupata habari hii kuhusiana na wezi wa laptop pamoja na simu za mkononi.Soma habari na kachangia. Mtandao huu ni mkubwa sana kuna baadhi ya watu ambao ni askari kanzu , wamiliki wa maduka ya computer na vifaa vyake pamoja na vijana wengine ambao kazi yao ni kuletewa vifaa hivi kuvibadilisha na kuuza kwa mara ya pili kwa bei chee .
  KATIKATI YA JIJI
  DARSKENDO ( JINA LAKE KAMILI HAJULIKANI ) HATA ANAPOENDA VITUO VYA POLISI HUWA HAANDIKI JINA LAKE SIJAWEZA KUJUA NI KWA SABABU GANI , YEYE NI MWENYEJI WA MWANZA MENO YAKE KWA MBELE KAMA YAMEOZA HIVI – ANAPATIKANA MARA NYINGI MTAA WA SAMORA KARIBU NA FUNDI MMOJA MAARUFU WA SIMU ANAITWA ABDALAH JUU YA KIGOROFA PAMOJA NAYE WAKO VIJANA WENGINE 2 AMBAO NI RAFIKI ZAKE .
  ABUBAKARI ( JINA LINGINE NI ANODI ) YEYE NI MFUPI ANANYWELE NDEFU NI MWENYEJI WA MWANANYAMALA MARA NYINGI ANAPATIKANA FERI NA HUWA ANALALA HUKO HUKO , HUYU NI MWIZI ZAIDI WA SIMU ZA VIGANJA .
  COMPTRONIX ( HILI NI DUKA MAARUFU KWA UUZAJI WA VIFAA YA ELECTRONIKI NA COMPUTER ) LIKO SAMORA PIA , UKIFIKA HAPA UTAONA VITU NI BEI RAHISI SANA KAMA LAPTOP NA VINGINE WENGI WANAOIBA LAPTOP HUENDA KUUZA KATIKA DUKA HILI KWA BEI ZA KUTUPA KWAHIYO USISHANGAE LAPTOP YAKO IMEIBIWA UKAENDA KUUZIWA TENA KATIKA COMTRONIKX.
  JAMHURI
  AZAM TAKE AWAY ( HAPA KUNA WATU WENGI WANAOJISHUGULISHA NA UUZAJI NA UNUNUZI WA LAPTOPS HATA SIMU ZA MIKONONI , WENGI HUJIFANYA ZIMETOKA NJE YA NCHI HASWA AFRIKA YA KUSINI NA ULAYA MMOJA WA WATU MAARUFU WANAOUZA HIZI LAPTOP NI TOM ( HILI SIO JINA HALISI ) ILA NDIO JINA ANALOTUMIA PAMOJA NA MWINGINE ANAITWA MSANGI NA RAJABU .
  CHIEF PRIDE
  NYUMA YA HOTELI HII KUNA KIJANA MMOJA ANAITWA FREDY , HUYU NDIO WATU WENGI WANAMPELEKEA LAPTOP KWA AJILI YA KUBADILISHWA BAADHI YA VITU NA KURUDISHWA SOKONI , KAMA HARDDRIVE NA RAM HATA KUFUTA NA KUINSTALL VITU UPYA MARA NYINGI AMEWAHI KUTIWA HATIANI NA ASKARI LAKINI KESHO YAKE AU BAADA YA MASAA FULANI YUKO MITAANI ANADUNDA .
  NJE YA JIJI
  MOROCCO ( KUNA KIJANA MMOJA ANAITWA ZABRON ) HUYU NI MTOTO WA MWALIMU MSTAAFU WA CHUO KIKUU CHA DSM LAKINI SASA NI MAREHEMU , AMEWAHI KUWA SEHEMU YA KUKODISHA VIDEO NA KUTENGENEZA VIDEO SEHEMU ZA UPANGA , YEYE NI MNENE MREFU ANAISHI MAKONGO JUU HAJAWAHI KUSOMEA MASUALA YA ICT WALA MAWASILIANO .
  KIJITONYAMA MABATILI ( JAMES CID ) HUYU NI ASKARI KANZU HUWA ANAENDESHA GARI AINA YA MARINO YEYE ANAJIFANYA MSUKUMA ILA NI MWENYEJI WA MBEYA , MARA NYINGI ANAPENDA KUTEMBELEA MOROGORO INAHISIWA NDUGU ZAKE WENGI WANAISHI MOROGORO ( LAPTOP NYINGI AMBAZO ANAZISHIKA KWA WATU AU KATIKA MATUKIO MBALI MBALI HUWA ANAZIHIFADHI KATIKA NYUMBA MOJA YA WAGENI AMBAYO IKO KARIBU NA KITUO CHA POLISI MABATINI HUYU PIA HAJUI CHOCHOTE KUHUSU ICT WALA KUWASHA KOMPUTER WEZI WOTE WA LAPTOP SEHEMU ZA KIJITONYAMA MAKUMBUSHO NA MWENGE WANAMJUA HUYU HUWA ANAWASAIDIA SANA KATIKA MAMBO YAO POLISI .
  LUFUNGIRA ( SAM NUJOMA ROAD ) HAPA KUNA KIJANA MMOJA ANAITWA AMBROSY YEYE ANAISHI CHUO KIKUU ENEO LA ARDHI ANAJULIKANA KWA KUTOA LAPTOP NA SIMU TOKA KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU NA YEYE KUZIUZA SEHEMU ZINGINE .
  CELTEL - KIJITONYAMA
  HAPA KUNA KIJANA MMOJA ANAITWA IBRA , NI MTU WA UMRI WA MIAKA KAMA 30 AU 35 , KABILA LAKE NI MJITA , ANA UNDUGU NA MMOJA WA MAASKARI PALE KITUO CHA POLISI OBEY NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM , LAPTOP NYINGI ZINAZOIBIWA KATIKA STORES ZA KAMPUNI YA CELTEL HUYU NDIO MHUSIKA MKUU ANAJUA MENGI , INAONYESHA SIO MFANYAKAZI RASMI WA CELTEL MANAKE HAVAAGI KITAMBULISHO ILI KUWEZA KUJUA NAMBA YA KITAMBULISHO CHAKE
  AFRICARE – ADA ESTATE
  KUNA KIJANA MMOJA ANAITWA TOM , HUYU NI NDUGU YAKE IBRA ANAYEFANYA KAZI CELTEL NA NDIYE ANAYELETEWA HIZI LAPTOP KWA AJILI YA KUTAFUTA WATEJA , RAFIKI YAKE MKUBWA ANAITWA JOHN AMBAYE NI DEREVA WA ANOLD KILEO MWENYEKITI WA CTI .

  WEZI HAWA WOTE HUIBA LAPTOP NDANI YA MAGARI AU KATIKA MAOFISI NA NYINGI ZAO HUWA ZIKO BILA POWER ADAPTOR , BADO NAENDELEA KUTAFUTA WENGINE NA KUFANIKIWA KUJUANA NAO ILI KULETA HABARI ZAIDI .
  PAMOJA NA HAYO SIWEZI KUKUHAKIKISHIA UPATIKANAJI WA KIFAA AU VITU VYAKO HII NI KWA AJILI YA KUPEANA TAARIFA TU SINTOHUSIKA NA UTAFUTAJI WA VIFAA VYAKO KAMA VIMEPOTEA AU KUIBIWA KATIKA MAENEO YALIYOTAJWA HAPO JUU .
  _________________
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Jamani hadi leo hawa watu hawajahojiwa tu??mbona kila kitu kiko wazi au maporisiii huwa hawapiti humu??pse vunjeni huu mtandao jamani hatuna hata raha kuacha vifuko vyetu ndani ya magari siku hizi
   
 3. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kaka hawa wote uliwajuaje na kuwa na clues zote kiasi iko???au mlizurumiana nini
   
 4. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
 5. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Majita,

  Umesahau kuwa hapa ni JF, watu wanamkoma nyani mchana kweupe. What matters ni uzito wa habari iliyotolewa na wala si vinginevyo. Ni juu ya wanaJF wengine nao kuendelea kufichua maovu popote pale bila ya kujali ni nani na yuko wapi.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mi iwa nawashangaa sana watu.Habari za mhimu kama hizi wanazipuuzia sana.Angalia hata watu walio tembelea wachache sana hawa wahalifu inabidi washughulikiwe na kuubomoa huu mtandao wao.
   
 7. Elusive

  Elusive JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2009
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi nakumbuka miaka ya sabini na mwanzoni themanini, katika miji ya tanzania kulikuwa na askari wanaowakamata wazururaji, au kwa jina jengine watu wasio na kazi inayofahamika, hasa katika jiji la Dar. Usiku na mchana kama utatembea bila ya kitambulisho cha kazi basi ujuwe utakamatwa. Jiji lilikuwa halina vibaka au kama walikuwepo basi katika maendeo machache, nashauri hawa mapolisi wafanye kama miaka ya sabini na themanini nadhani watatusaidia sana kuondokana na hawa vibaka na matapeli waliozagaa kila kona za majiji ya yetu
   
Loading...