Kuna wakati kulikuwa na makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini kwamba Mtz akitaka kwenda South hatalazimika kulipia visa, na vivyo hivyo M- south nataka kujua huu mpango...
Ijumaa iliyopita nilikutana na kero ya Polisi wa Usalama Barabarani wakati nikisafiri kutoka Dodoma Kwenda Kondoa Irangi na Basi la Machame Investment. Abiria tulitakiwa kufika kituoni saa 11.30...
[COLOR="Black"] Kuna jitihada zinaendeshwa na Jeshi la Polisi Idara ya Usalama Barabarani la kuyasimamisha mabasi yenye chasis za malori kutokufanya safari. Ninachajiuliza mimi ni hiki:
1) Ni...
Nyani wahamishwa Ikulu kwa kumkojolea RaisRamadhan Semtawa na Mashirika
IKULU ya Zambia imeagiza kuhamishwa kwa nyani wapatao 200 kutoka kwenye viunga vya eneo hilo, baada ya mmoja wao...
KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU -ZANZIBAR
naamini wewe ni mmoja ya watendaji wazuri katika wizara ya Elimu Zanzibar ambae licha ya kuwa na uchungu na Elimu lkn ni mmoja ya unaofatilia kwa karibu...
Ikitokea ukapata E-mail yenye ujumbe kama huu hapa chini don't expose your information.
Dear Valued Member,
Due to the congestion in all Yahoo users and removal of all unused Yahoo...
Ndugu wana JF hivi mnaonaje hadhi ya hawa walimu ambao bila wao hakuna mmoja kati yetu angeweza fanya mengi tunayofanya sasa,je ni wanasesere ambao hakuna anayeogopa wachezea?au labda serikali...
MV MAGOGONI NA MV ALINA nauli juu kuanzia kesho kwa magari na abiria.
Mzalendo nauli ni 200 kutoka sh 100. Maana yake anatakiwa kuwa na 400 kwenda na kurudi, huyohuyo anaishi chini ya dola 1 kwa...
Askofu Mayalla, ameaga dunia. Mazishi yake ni Jumatano. Tunasikitika kumpoteza. ingawa wengine wanafurahi maana wamesubiri kiti chake kwa hamu kubwa.
Tunaomba kanisa lisifanye makosa ya...
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Chanzo cha makala hii ni gazeti la TANZANIA DAIMA ya leo jumapili kama...
Literal translation on front page of Guardian!!
Hivi hawa watu wamesoma wapi hii English? I thought something bad had happened to the pilot leading to clouding of the event!!
Restuta James na...
Ccm kumkomalia sitta imeendelea kujiumbua zaidi na zaidi.Muda wote najaribu kufikiria kuwa hivi ningekuwa sitta sijui ningefanyaje(nijiuzuru?uspika napenda kwani kuna maslahi makubwa,lakini je...
Takribani juma la tatu sasa kumekuwa na kukatika katika kwa umeme maeneo mbalimbali hapa Dodoma pasipo taarifa yoyote rasmi kutoka TANESCO. Suala hili linaleta usumbufu mkubwa sana katika shughuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.