Maexaprt wengi NORTH MARA NI FEKI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maexaprt wengi NORTH MARA NI FEKI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domisianus, Jan 18, 2009.

 1. D

  Domisianus Senior Member

  #1
  Jan 18, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kuna Mgodi hapa ulimwenguni unaochekesha basi North Mara (BARRICK) unachekesha sana, hivi nini maana halisi ya neno expart
  Je wizara ya kazi na maendeleo ya vijana inasemaje kuhusu ratio ya maexpart na wazawa? haingii akilini technician unamfundisha expart bado huyo anajiita expart,Tunaiomba wizara husika viangalie upya vibali na viwango vya elimu halisi vya hawa the so called exparties kabla ya kuwapa kibali maana ni aibu tupu huko migodini.
  Kuna kijana mmoja mgeolojia mining kutoka Ghana alidanganya kuwa ana masters kumbe ni diploma holder, aibu gani hii? Hii ni kero kubwa sana na naamini kuna vijana wa kitanzania wenye uwezo mkubwa sana wa kufanya hizi kazi.
  Inakera sana kumfundisha expart, sas ni expart wa kitu gani?
   
Loading...