Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Suzy Butondo, Shinyanga SERIKALI mkoani Shinyanga imetangaza kuwachukulia hatua za kisheria baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini wanaowapotosha waumini wao kwa kusema kuwa wanaponya ugonjwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kuuliza kama ninaweza kutumia credit/debit cards za kigeni katika ATM za Tanzania? Nilipata tetesi kuwa baada ya kutokea wizi katika ATMs mbalimbali Tanzania, pametokea mabadiliko. Napenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Angalia filamu muhimu ya dakika 30 ya mabadiliko ya hali ya hewa Tanzania leo Dec 7, 2009 Saa 1.30 usiku TBC1 na Saa 3.00 usiku ITV WWF Tanzania
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kuna uwezekano kweli wa kupata mafanikio kupitia nguvu za giza kama vile kupata kazi,mke unayemtaka au mafanikio mengine ya maisha kwa kwenda kwa wataalam wa kienyeji? kweli mtu anaweza...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
There is a tale from Malawi about the President’s speech during 1980s. This was the time when Dr. Hastings Kamuzu Banda was a despot life president and a demigod of some sort, so to speak. Banda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Size matters!! SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limelazimia kurudisha kondomu zilizoingizwa nchini kutoka Korea baada kondomu hizo kugundulika kuwani ndogo. Akizungumza katika ziara ya...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kikwete yaanza kumshinda Sasa hata Dk. Shein azoza SIKU chache tu baada ya kutuma ujumbe kwamba akipita mwakani hatabeba mawaziri wazee, Rais Jakaya Kikwete ameanza kutekeleza azma hiyo kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tabata kumechafuka, usafiri hamna daladala zimegoma, wanadai kuwa majembe auction mart ndio chanzo cha mgomo wao. Magari ambayo yanaendelea na kazi ya kubeba abiria, yanatupiwa mawe, kitu ambacho...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kila siku katika kipindi kirefu sasa,Watanzania tumekuwa tumejiingiza katika malumbano na mijadala isiyokwisha.Lakini mjadala uliotuyumbisha zaidi umekuwa ni mjadala kuhusu ufisadi. Kikubwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imeanzisha huduma mpya ya upimaji Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini itakayofanyika nyumba hadi nyumba. Waziri wa Wizara hiyo, Profesa David Mwakyusa, aliyasema...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Niko proud na nchi yangu Tanzania na nafurahi kuwa mimi ni Mtanzania sababu a) Lugha: ukiwa Tanzania lugha moja ya kiswahili inatosha kutangaza habari zako za biashara na zingine na watu wote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani hivi kuna maana au faida gani kwa kwenda honey moon ama kwenye fungate?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana usiku majira ya saa tatu hivi na ushehe kulikuwa na tetemeko la ardhi katika wilaya ya Kyela. Miti, majengo na watu tulitingishika kwa sekunde kadhaa na hali hiyo ilijirudia kama mara nne...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mimi ni mpenzi sana wa gazeti la mwananchi hiyo inatokana na umakini wa habari zake. Lakini tangu ndugu Kafulila atoke Chadema hawa ndugu wa gazeti la mwananchi naona wamepata dili! kwani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The antivirus on my laptop, ESET, notified me today that is has detected attacks (seven so far) from http://www.freemedia.co.tz/rss. The culprit: TrojanClicker.IFrame.NAG trojan. Please...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Nimeona niilete jukwaani hii hoja ya report ya kamati ya uchunguzi wa mikataba ya madini ambayo Zitto alikuwa ni member! Hatukuwahi kusikia matokeo ya uchunguzi wa kamati ile, na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Los Angeles Episcopalians elect lesbian bishop December 6, 2009 9:10 a.m. EST The Rev. Mary Douglas Glasspool was elected bishop late Saturday by the Los Angeles...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF. Kama kuna watu walikuwa wanasikia tetesi basi leo napenda kuweka bayana kuwa Mimi Hamad Moh'd Hafif Al- Mugheiry na wake zangu wawili Bi Kuruthum Suleiman Al yahayai na Bi Zelekha...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Kamati ya Ndugai yameguka Na Mwandishi wetu | 6th December 2009 - Yadaiwa wapo wabunge wanaoibeba OBC - Mlingwa adaiwa kumkoromea Job Ndugai Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira inadaiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Posted Date:: 2009-12-02 09:34:00 Concern over Dar's huge climate team By Mkinga Mkinga and Beatus Kagashe Tanzania is sending one of the largest delegations to the Copenhagen Summit on...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…