Bowbow
JF-Expert Member
- Oct 20, 2007
- 541
- 32
WanaJf,
Tulikuwa tukifuatilia Afya ya aliyekuwa Gavana na kushinikiza serikali imrejeshe ili aje kuhukumiwa kwa makosa aliyoyatenda. Wakati tukifuatilia hayo sisiem na sirikali wakaunda Tume richmonduli ilivyotoa taarifa yake tukahamisha attention yetu kwa Karamagi, Lowassa et al, ilipoanza kufifia Lowassa kajiuzulu yote hayo nikufanya hoja ya EPA na mshitakiwa mkuu Balali kuendelea kujichimbia huko aliko bila kupata pressure ya kumrudisha na sirikali kuweka mikakati mingine ya kufanya hoja ififie.
Kama hiyo haitoshi soon kuna reporti ya kamati ya kupitia madini itatoka nayo itafunika maswala ya EPA. Then kamati iliyoundwa na Rais itatoa mapendekezo kwa Rais, then itaundwa kamati ingine kupitia mapendekezo hayo vyote hivyo 2008 itakuwa imeisha na yatakuja mengine.
So Je, Sisiem na sirikali imefanikiwa kutupiga danadana?
Mbona hakuna ufuatiliaji wa nini kinaendelea kuhusu Balali maana yeye ndio starling?
Je Jf nasi tumeanza kuwa mafisadi? (Hinti: kama huwezi....ungana nao)
Tukitaka ukweli wa EPA kama ilivyokuwa kwa richmonduli basi balali ndio wa kumbana atuambie yote yaliyotokea na sio kupata habari kwa hosea et al.
Nawakilisha