BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,825
- 287,845
hii ya kuangalia kama similar thread imeshakuwa posted, sijui kama inafanya kazi sawa sawa maana niliangalia kama "TANESCO yatahadharisha kuwapo kwa mgao" kwa kutumia kichwa cha habari hicho hicho, kama tayari imeshatumwa lakini sukuiona, kumbe imeshatumwa!